Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Walimdharau Kwa Miaka Kwa Sababu ya Umaskini Leo Anasaini Contracts za Serikali Zenye Thamani ya Mabilioni

December 19, 2025

This time I give steve a link (no mid-stream ads)

December 19, 2025

What is Charlie Kirk’s Security Man Brian Harpole Twisting and Squeezing at the Big Bang? – #33

December 18, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Walimdharau Kwa Miaka Kwa Sababu ya Umaskini Leo Anasaini Contracts za Serikali Zenye Thamani ya Mabilioni
  • This time I give steve a link (no mid-stream ads)
  • What is Charlie Kirk’s Security Man Brian Harpole Twisting and Squeezing at the Big Bang? – #33
  • Aliachwa na Mpenzi Wake Siku Moja Kabla ya Harusi Miezi Michache Baadaye Dunia Ilimshangaa
  • BREAKING! MIT SCIENTIST SUSPECT MANHUNT , KASH INTERVIEW, TRUMP ADDRESS, NEWSOM & REAGAN, BLACK TV
  • View the subsequent content through the homepage link#usa #shortsvideo #newyork
  • MAKALA: SHUHUDIA KILELE CHA MAHAFALI YA 13 TAASISI YA UHASIBU TANZANIA (TIA) KAMPASI YA MBEYA
  • DKT. TULIA ATOA POLE, AIPONGEZA SERIKALI KWA KUSIMAMIA CHANGAMOTO MBEYA
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home ยป Mashindano ya Riadha ya Betika Mbeya Tulia Marathon 2025 Yametamatika kwa Mafanikio Makubwa
Habari za Kitaifa

Mashindano ya Riadha ya Betika Mbeya Tulia Marathon 2025 Yametamatika kwa Mafanikio Makubwa

Mbeya YetuBy Mbeya YetuMay 10, 2025No Comments14 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Mashindano ya Riadha ya Betika Mbeya Tulia Marathon yametamatika leo kwa mafanikio makubwa katika Uwanja wa Sokoine, Mbeya Mjini, yakiwashirikisha wanariadha zaidi ya 2,000 kutoka ndani na nje ya Tanzania. Washiriki hao walichuana katika mbio fupi (za ndani ya uwanja) na mbio ndefu (Full Marathon), huku wakionesha viwango vya juu vya ushindani na nidhamu ya hali ya juu.

Mgeni rasmi wa mashindano hayo alikuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, ambaye aliipongeza Taasisi ya Tulia Trust, chini ya uongozi mahiri wa Mkurugenzi wake ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa IPU, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, kwa kufanikisha kwa kiwango cha juu mashindano hayo.

Dkt. Biteko amesema kuwa mashindano hayo si tu yanakuza vipaji vya michezo bali pia ni kichocheo kikubwa cha maendeleo ya kijamii, hasa katika sekta za elimu na afya kupitia mchango wa Tulia Trust.

Kaulimbiu ya mwaka huu, “Mbeya Tulia Marathon 2025: Tunaboresha Miundombinu ya Elimu na Afya”, imeendelea kuonyesha dhamira ya kweli ya Spika Dkt. Tulia Ackson katika kuleta maendeleo ya watu kupitia michezo na taasisi yake ya Tulia Trust.

Tunampongeza kwa dhati Mhe. Spika Dkt. Tulia Ackson kwa uongozi wake wa mfano, uzalendo usioyumba, na moyo wake wa kujitolea kwa ajili ya jamii. Ameendelea kuwa mfano wa kuigwa katika kuchangia maendeleo ya nchi kwa vitendo, na juhudi zake kupitia Mbeya Tulia Marathon zinaendelea kugusa maisha ya Watanzania wengi.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

WAZIRI MKUU AKAGUA ATHARI KWENYE MAJENGO YA MAMLAKA YA MJI MDOGO KYELA

December 18, 2025

Naibu Waziri wa Maji Mathew: Aweka Mkazo Kwenye Miradi ya Maji Mbeya na Chunya

December 16, 2025

MAHAFALI YA 23 YA TAASISI YA UHASIBU TIA KAMPASI YA MBEYA, RC MALISA AWAALIKA WAWEKEZAJI MKOANI MBEYA.

December 12, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025264

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025237

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024209

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025131
Don't Miss
Uncategorized

Walimdharau Kwa Miaka Kwa Sababu ya Umaskini Leo Anasaini Contracts za Serikali Zenye Thamani ya Mabilioni

By Mbeya YetuDecember 19, 20251

Nilizoea kudharauliwa. Kwa miaka mingi, jina langu lilikuwa likitajwa sambamba na umaskini, kushindwa, na ndoto…

This time I give steve a link (no mid-stream ads)

December 19, 2025

What is Charlie Kirk’s Security Man Brian Harpole Twisting and Squeezing at the Big Bang? – #33

December 18, 2025

Aliachwa na Mpenzi Wake Siku Moja Kabla ya Harusi Miezi Michache Baadaye Dunia Ilimshangaa

December 18, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Walimdharau Kwa Miaka Kwa Sababu ya Umaskini Leo Anasaini Contracts za Serikali Zenye Thamani ya Mabilioni

December 19, 2025

This time I give steve a link (no mid-stream ads)

December 19, 2025

What is Charlie Kirk’s Security Man Brian Harpole Twisting and Squeezing at the Big Bang? – #33

December 18, 2025
Most Popular

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025264

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025237

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024209
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.