Sidhani kama kuna mfanyakazi anaweza kutosheka na kuridhika na mshahara ule ule kwa miaka nenda rudi, na hii ni kutokana kila mshahara unapoongezeka, matumizi nayo yanaongezeka tena kwa kiasi kikubwa.
Hiyo hufanya mfanyakazi kutumia tena ombi la mshahara, hata hivyo ni Mabosi wachache au Ofisi chache ambazo muda wote zipo tayari kwa kuongeza mshahara mfanyakazi wake.
Ndivyo ilikuwa na kwangu,nilifanya kazi katika ofisi moja ya usafirisha mizigo kwa miaka mingi kwa malipo yale yale miaka mingi sana.
Kila ambapo ningetuma ombi la nyongeza mshahara, basi ningepewa jibu kuwa nisubiri kwanza au niwe mvumilivu kwani siku sio ngingi watafanya hivyo ila kweli ni kwamba hakuna utekelezaji wowote ambao ungeweza kufanyika. Soma zaidi hapa