Nilizaliwa katika familia maskini na maisha yangu yalikuwa ya dhiki tangu utotoni. Nilikua nikivaa nguo zilizochanika, mara nyingi nililala njaa, na hata kuenda shule kulikuwa changamoto. Wengi walinicheka, wengine wakinidharau waziwazi wakisema nitabaki kuwa maskini milele.
Wakati marafiki zangu walipokuwa wanapata ajira nzuri au kuanzisha biashara, mimi nilihangaika na vibarua vya kulipwa pesa ndogo ambazo hazikutosha hata chakula cha siku moja. Kibaya zaidi, hata ndugu zangu walinigeuka. Niliposhindwa kuwasaidia kifedha, waliniona kama mzigo.
Hata wasichana niliowapenda waliniacha baada ya kugundua sina mali wala ushawishi. Nilipitia maumivu ya kudharauliwa hadharani; mara moja rafiki yangu alinicheka mbele ya watu akisema: “Huyu hata mkimpa mtaji, hatuwezi kumwona akifanikiwa.” Maneno hayo yalinichoma moyo lakini pia yalinipa hamasa ya kutafuta suluhisho la maisha yangu.
Safari yangu ya mabadiliko haikuwa rahisi. Nilipambana miaka mingi, nikajaribu biashara ndogo ndogo kuchuuza mitumba, kuuza matunda, hata kufagia ofisi lakini sikuona maendeleo. Nilihisi kana kwamba kuna nguvu fulani zilikuwa zikinizuia kufanikiwa. Soma zaidi hapa