Nilikuwa mtu mwenye furaha, kazi nzuri na familia yenye upendo, lakini ghafla maisha yangu yalibadilika. Nilianza kupoteza kila kitu bila sababu ya kueleweka. Kwanza nilifutwa kazi ghafla bila kosa lolote. Baada ya hapo, biashara ndogo niliyokuwa nimewekeza ikaanguka.
Ndoa yangu nayo ikayumba, mume wangu akaanza kuwa mkali na hatimaye akaniacha. Watu waliokuwa marafiki zangu wakaanza kuniepuka kana kwamba mimi ndiye nilikuwa chanzo cha matatizo yote. Nilihisi dunia imenipoteza na sikujua la kufanya.
Nilipojaribu kuanza upya, kila hatua ilikuwa inakwama. Nilikuwa nikipata kazi mpya, lakini ndani ya miezi michache nilifutwa tena. Afya yangu nayo ilianza kudorora, nilikuwa mgonjwa kila mara bila madaktari kupata tatizo maalum.
Nilijikuta nikiwa mpweke, sina msaada, na sina cha kutegemea. Nilihisi kama kuna nguvu isiyoonekana inayonifuatilia na kuhakikisha sipigi hatua yoyote ya kimaisha. Woga na huzuni vilinifanya nisiamini tena mtu yeyote, na nilikaribia kukata tamaa kabisa. Soma zaidi hapa