Jina langu ni Stella Njeri, nina miaka 32 na ninaishi Nairobi. Kwa muda mrefu nilikuwa nikijihisi vibaya sana kila mara mume wangu aliponitaka chumbani kwetu. Nilikuwa mkavu sana, na hilo lilikuwa linanifanya nione aibu na kuogopa kila usiku.
Kila tulipokutana, basi tendo hilo liligeuka kuwa maumivu badala ya raha. Nilianza hata kumpa visingizio ili nisiingie kitandani naye.
Polepole mume wangu alianza kuniepuka. Hakuwahi kusema moja kwa moja, lakini nilijua moyoni mwake alikuwa amekata tamaa. Mambo yalibadilika nyumbani, hakukuwa tena na furaha wala mawasiliano mazuri.
Nilikuwa naumia nikijua sababu ni mimi, lakini sikuwa najua nifanye nini. Nilijaribu kutumia mafuta ya kawaida madukani, lakini hayakusaidia kabisa. Soma zaidi hapa