Sikuwahi kufikiria siku moja jina langu lingesikika redioni kama mshindi wa jackpot. Ilikuwa Jumapili jioni nikiwa kwa duka langu dogo nikitazama mechi ya mwisho ya ligi ya England. Nilikuwa nimepiga bet kama kawaida, bila matumaini yoyote, maana mara nyingi nilikuwa napoteza hadi nimezoea. Nilikuwa nimeweka timu 13, na moyoni nilijua huu ungekuwa mpira mwingine wa kupoteza hela bure.
Ghafla simu yangu ikaanza kulia kwa nguvu. Nilipoipokea, sauti ya mwanamke ilisema kwa furaha, “Hongera, wewe ndiye mshindi wa jackpot ya wiki hii.” Nilidhani ni mzaha. Nilicheka nikasema, “Usinichezee akili dada, mimi kushinda milioni? Haiwezekani.” Lakini aliponisomea jina langu kamili na namba ya tiketi, nilihisi mwili mzima unatetemeka. Moyo wangu ulianza kudunda kwa kasi, macho yakajaa machozi, na midomo yangu ikakosa maneno.
Watu wa mtaa walikimbia hadi dukani kwangu. Nilihisi kama ndoto. Niliambiwa nimejinyakulia zaidi ya milioni 22, kitu ambacho nilikuwa nasikia tu kwenye redio au kuona kwa watu wengine. Nilipoitwa ofisini kuchukua hundi yangu, kamera zikapigwa, watu wakapiga makofi, lakini ndani yangu nilijua ushindi huu haukuwa wa kawaida. Kulikuwa na siri kubwa nyuma yake. Soma zaidi hapa