Nilikuwa nimefika mahali ambapo nilikuwa nimekata tamaa kabisa kuhusu mtoto wangu. Alikuwa amebadilika ghafla hakaidi kila jambo, hakusoma, na hata walimu walilalamika mara kwa mara kuhusu tabia yake shuleni. Kila siku ilikuwa ni vita kati yangu naye.
Nilijaribu kila njia ya kawaida kama kumwogopesha, kumnyima vitu, na hata kumpeleka kwa ushauri shuleni, lakini yote hayakusaidia. Kadri siku zilivyokwenda, ndivyo alivyokuwa mbishi zaidi. Nilianza kuhisi labda nilishindwa kama mzazi.
Nilikuwa nalala nikilia usiku, nikijiuliza nilikosea wapi. Niliogopa kuwa mtoto wangu angeishia vibaya maishani. Alianza hata kushirikiana na marafiki ambao nilijua hawakuwa na maadili mazuri. Nilijaribu kuzungumza naye kwa upole, lakini hakusikia. Soma zaidi hapa

