Nilidhani kuwa kufuata kila neno la marafiki zangu kunakuwa njia ya kufanikisha maisha yangu. Nilijaribu kuiga kila hatua walizochukua, hata zile zisizokuwa sahihi kwangu. Mara nyingi nilipoteza pesa, muda, na hata amani ya akili yangu. Nilihisi maisha yananipita huku nikiwa nikifanya mambo ambayo sipendi kweli.
Hapo ndipo nilipogundua kuwa baadhi ya marafiki wangu walikuwa na mashinikizo yasiyo na faida. Walitaka nifuate mitindo yao ya maisha, lakini haikuwa ni kwa manufaa yangu. Nilianza kuhisi kuchoka, kukosa furaha, na hata kujiuliza kama nitapata mafanikio bila kuwa wafuasi wao. Soma zaidi hapa

