Kwa muda mrefu nilikuwa naishi maisha ambayo kila mwanaume anayepitia changamoto za malezi ya watoto nje ya ndoa ataelewa. Nilikuwa na watoto wawili na mama yao, lakini tangu tulipotengana, mambo yalibadilika ghafla. Badala ya malezi ya pamoja, busara, na maelewano, niligeuzwa kuwa mfadhili tu chanzo cha pesa, sio baba.
Kila mwezi nilituma hela, nilihakikisha ada imeshalipwa, mavazi yamepatikana, chakula, na kila kitu walichohitaji. Lakini katika yote hayo, neno “wamekuliza” halikuwahi kuambiwa. Hakuna picha zao, hakuna sauti zao, hakuna hata salamu. Nilianza kuhisi kama natoa mchango kwa watoto wasio wangu, kwa sababu sikuwahi kuwaona.
Nilipojaribu kuuliza, jibu lilikuwa lile lile kila mara visa, visingizio, na hasira zisizo na msingi. “Watoto wanaumwa,” “hawapo nyumbani,” “usifuatilie sana,” na wakati mwingine hata kublocked kabisa. Nilikuwa naumia kimya kimya. Kila mwanamume anajua uchungu wa kutamani kuongea na mtoto wako lakini kila mara unapigwa chenga.
Miaka ikaanza kupita, na nikaanza kuhisi kama nimepoteza nafasi yangu kama baba. Kipindi hicho kilinifanya nihisi duni, dhaifu, na hata kunifanya niogope siku moja wakija kukua wataniuliza kwanini sikuwa karibu na ningekuwa sina jibu.
Nilijaribu ushauri wa familia, nilijaribu polisi, nilijaribu hata kwenda kujadiliana kwa upole, lakini kila wazo lilifungwa kwa kiburi na maneno makali. Ilifika mahali nikajua kuna nguvu zaidi ya hasira ya kawaida; ilikuwa kama kuna kizuizi cha kiroho kati yangu na watoto wangu. Soma zaidi hapa

