Kijana mchangamfu na mwenye bidii kutoka Arusha, Ayaeli alikuwa na shauku moja tu: kufanikiwa katika biashara yake ya kuuza mbao. Alipenda harufu ya miti mipya iliyokatwa na aliona fursa kubwa katika ujenzi unaokua kwa kasi mjini Arusha. Alianza biashara yake miaka mitatu iliyopita kwa mtaji mdogo sana, akijitolea kila kitu alichokuwa nacho.
Hata hivyo, jitihada zake zote hazikuzaa matunda. Biashara ilikuwa imekwama. Wateja walikuwa wachache, na wale waliokuja walijadiliana bei hadi akabaki na faida ndogo sana. Wakati mwingine, malori ya mbao yalikaa ghalani kwa wiki kadhaa bila mnunuzi. Washindani wake walionekana kupata wateja kwa urahisi, huku yeye akikaa na kutazama.
Alijaribu kubadilisha mikakati, akaweka matangazo, na kupunguza bei, lakini kila jitihada ilikuwa kama kumwaga maji kwenye jiwe. Akili yake ilijawa na mawazo ya kukata tamaa. Alianza kulala na kuamka na msongo wa mawazo, na hata afya yake ilianza kudhoofika.
“Ina maana mimi sina bahati katika biashara hii?” alijiuliza mara nyingi. Alihisi kuna nguvu fulani isiyoonekana inazuia mafanikio yake. Ndoto yake ya kujenga nyumba nzuri kwa wazazi wake na kuoa ilikuwa ikififia kwa kasi. Soma zaidi hapa

