Salma, mwanamke mwenye umri wa miaka 32 kutoka kijiji cha Mitwero mkoani Lindi, alikuwa na maisha yaliyokuwa yakionekana ya kawaida kwa wengi. Aliolewa na mume wake Rashid kwa zaidi ya miaka mitano, na kwa nje walionekana kama wanandoa waliotulia, wenye furaha na upendo. Hata hivyo, ndani ya moyo wake, Salma alikuwa akipambana na changamoto ambayo hakuwahi kumwambia mtu yeyote kwa uwazi.
Kwa kipindi cha zaidi ya mwaka mmoja, alianza kukumbwa na tatizo la kukauka wakati wa tendo la ndoa. Mwanzoni alidhani ni hali ya kupita, labda kutokana na msongo wa mawazo au uchovu wa kazi. Lakini kadiri muda ulivyozidi kwenda, hali ilizidi kuwa mbaya. Kila walipojaribu kuendeleza faragha ya ndoa, alijikuta akisitasita, akiumia, na wakati mwingine akijisikia aibu mbele ya mume wake.
Rashid alijaribu kadiri ya uwezo wake kumwelewa, lakini alihisi mabadiliko. Mazungumzo kati yao yakaanza kupungua, mazingira yakawa ya baridi, na hata Salma mwenyewe alianza kuona kama anapoteza sehemu muhimu ya uhusiano wao. Usiku mwingi Salma aliulala akilia kimya kimya, akijiuliza kwanini mwili wake ulibadilika ghafla. Soma zaidi hapa

