*SAFARI YENYE TABASAMU KATA YA ILEMI.*
Kazi inaendelea pale ilipoishia katika kusambaza Tabasamu Kwa Wananchi wa Jimbo la Uyole Ndani ya kata Ya Ilemi Mkoani Mbeya.
Familia ya Anyomwisye Mwalyaje inaenda Kutabasamu, hii ni baada ya kukutana na changamoto ya nyumba ambayo walikuwa wakiishi kupata ajali ya Moto Septemba 05, 2025.
Kama kawaida ya Taasisi ya Tulia Trust chini ya mkurugenzi wake ambae ni Mbunge Jimbo la Uyole na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) Mh. Dkt. Tulia Ackson imedhamiria kurudisha Tabasamu Kwa familia hiyo.
@tuliatrust_tz
@tulia.ackson
#TuliaTrustNaJamii
#TabasamishaNaTuliaTrust
#TuliaTrustMtaaniKwetu

