Kijana mmoja aitwaye Allan, mwenye umri wa miaka 26 kutoka Tanga, alikuwa amezoea maisha ya kawaida sana. Alifanya kazi ya muda katika duka la vifaa vya simu, kazi ambayo haikumwingizia kipato kikubwa, lakini ilimsaidia kumudu mahitaji ya msingi. Hata hivyo, ndoto yake kubwa ilikuwa kubadilisha maisha yake, kujenga nyumba kwa wazazi wake na kuanza biashara yake ya vifaa vya elektroniki. Kila alipofikiria ndoto hizo, alihisi kama zinamzidi nguvu.
Allan alikuwa mpenzi mkubwa wa michezo ya Ligi Kuu za Ulaya. Kila wikendi alikuwa anafuatilia mechi za England, Hispania, Ujerumani na Italia kwa karibu. Alikuwa na uelewa mzuri wa takwimu, mbinu na historia za timu, lakini mara nyingi hakupata matokeo aliyotarajia alipoweka bet ndogo ndogo. Aliona kama bahati haikuwa upande wake. Soma zaidi hapa

