Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Mathew Kundo ametembelea chanzo cha maji mto Kiwira Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya ambacho kimefikia asililimia tisini na nane huku akisema zaidi ya shilingi bilioni nne zimetolewa na Serikali kuendeleza mradi huo pamoja na kutoa wito kwa wananchi kutunza chanzo cha maji ili mradi uweze kufanya kazi kwa muda mrefu. Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mbeya (MBEYAUWSA) amesema mradi huo utakuwa na ujenzi wa chanzo cha maji, bwawa la kutibu maji,utandazaji wa mabomba na tanki la kusambazia maji.
Trending
- Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya na Aga Khan Zaanzisha Ushirikiano wa Kuboresha Huduma za Afya
- Shule ya Sekondari Utengule Usangu, H
- Mradi wa Barabara Mlima Nyoka Wamfikisha MCC ASAS, Ataka Kero za Wananchi Zitokomee
- Mradi wa Soko la Matola Wakwama, Meya na MNEC Wakanusha Kukamilika Mei
- JK KWA MFALME MSWATI III KUJADILI UPATIKANAJI WA FEDHA ZA MIRADI YA AFYA KWA NCHI WANACHAMA WA ECSA
- Halmashauri Yaipongeza Mbeya UWSA Kwa Mradi wa Maji, Asema Utakuza Uwekezaji
- Mpango wa Maendeleo 2026/27: Kasaka Apongeza Mafanikio, Aomba Maboresho
- Msafara Wasimama Soweto, Mbunge Mwalunenge Aamuru TANROADS Kuondoa Dimbwi la Miaka 3 Mara Moja

