#MbeyaYetuTv
Sept 2,2021:WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa serikali haiwezi kuunganisha taasisi za NIDA na RITA kutokana na tofauti za majukumu yake.Alikuwa akijibu swali la Mhe. Abubakari Asenga Mbunge wa Kilombero ambaye alishauri kuunganishwa kwa taasisi hizo ili kurahisisha upatikanaji wa vitambulisho vya Taifa.
Akifafanua Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa RITA ina majukumu ya kutoa cheti cha kuzaliwa kwa mtu yoyote
Trending
- WANA KIKUNDI STAR FAMILY MBEYA WALIVYOMALIZA MWAKA KWA KUTOA SADAKA KWA WATOTO YATIMA
- TUKIO ZIMA KUAGWA KATIBU MUHTASI CCM MBEYA MJII I BAADA YA KUSTAAFU,DKT TULIA/MWALUNENGE WASAPOTI
- Uzito Ulionekana Kunizidi Nguvu Hatua Moja Baada ya Nyingine Zilileta Mabadiliko
- DKT. TULIA ACKSON AANZA ZOEZI LA KUWAFIKIA KAYA ZENYE UHITAJI ZAIDI UYOLE, KAYA 130 ZANUFAIKA KUELEKEA SIKUKUU
- Nilijeruhiwa na Maneno ya Niliyekuwa Ninamwamini Safari ya Kujiponya Ilinisaidia Kuamua Hatua Ijayo
- JUMUIYA YA WAZAZI CCM MKOA WA MBEYA YAVUNJA UKIMYA YATOA TAMKO RASMI BAADA YA UCHAGUZI MKUU OKT 29
- Dkt. Tulia na watoto wake
- Nilidhani Msongo wa Mawazo Umenishinda, Nilijifunza Kuponya Akili Yangu
