#MbeyaYetuTv
Imeelezwa kuwa Watuhumiwa wanne wa mauaji ya mkazi wa Chunya mkoani Mbeya Tenson Ndege Meta wameachiwa huru .
Taarifa kutoka kwa wanafamilia akiwemo mke wa marehemu Rehema Daimon, dada wa marehemu Mage Ndege Meta na mjomba wa marehemu William Mgawe wanasimulia mkasa mzima wa tukio la mauaji na mazingira yenye utata ya kuachiwa huru kwa watuhumiwa hao wa mauaji.
Trending
- TAASISI ZA PICTERUS AS NA GOAL 3 KUANZISHA TEKNOLOJIA YA KISASA YA KUPIMA MANJANO KWA WATOTO WACHANGA TANZANIA
- MAHUNDI: SERIKALI YAELEZA SABABU ZA KUTOWALAZIMISHA WATOTO KUWAHUDUMIA WAZAZI.
- WAZEE WASHIRIKIANA NA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII ZOEZI LA UPANDAJI MITI DODOMA.
- Wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya Waadhimisha Kuzaliwa Rais Samia kwa Mshikamano
- MADAKTARI BINGWA WA HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA MKOANI MANYARA
- Serikali Yakabidhi Vifaa vya Kujifunzia kwa Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum Nsalala
- Nilipata Miscarriage Mara Tano Hadi Nikapoteza Ndoto Zangu Za Kuwa Mama Mpaka Nilipopata Usaidizi Usio na Madhara
- Nilifanya Kazi Kwa Miaka Miwili Bila Kupata Promotion Ila Nilijitafutia Hiyo Promotion Mwenyewe
