#MbeyaYetuTv
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi Sugu ameachana na ukapera na kuamua kufunga pingu ya Maisha na Mchumba wake Happiness Msonga.Ibada ya Ndoa ya Sugu imefanyika katika Kanisa Katoliki la Ruanda Jijini Mbeya.Viongozi mbalimbali wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho Freeman Mbowe,wabunge Joseph Selasini, Wilfred Lwakatare na MwanaHip Hop mwenzie Mbunge wa Mikumi Joseph Haule maarufu Profesa Jay waliungana naye katika sherehe hiyo.
Trending
- Mwanamke Alipata Furaha Baada ya Kuondoa Migogoro ya Ndoa
- TRA YABAINI ‘TRICK’ WENYE MALORI YA MAFUTA WAFANYABIASHARA WAWILI WAPANDISHWA KIZIMBANI MKOA SONGWE
- Nilikuwa Nikifuatwa na Kivuli Usiku Kila Mara Mpaka Nilipopata Ulinzi wa Kudumu
- “Polisi Watoka Scotland na Maboresho Mapya”
- Unataka Mtoto wa Kiume? Njia Hii Imenisaidia
- Dormohamed Issa: “Nitaendeleza Miradi Tuliyoianza kwa Manufaa ya Wananchi” kata ya isanga
- Dkt. Tulia Azindua Kampeni Isanga, Amnadi DoorMohamed Issah kwa Kishindo
- Mrembo alivyovunja minyororo ya kiroho iliyozuia kupata mume muda mrefu