Siku tano tu baada ya ajali mbaya kusababisha vifo vya watu 20 eneo la Mbalizi nje kidogo ya Jiji la Mbeya ajali nyingine inayofanana na hiyo imesababisha vifo vya watu watano baada ya Lori kufeli breki na kuparamia magari matatu na kulalia Noah na kusababisha vifo vya watu watano
Trending
- Jinsi nilivyoweza kuacha kuvuta sigara baada ya miaka mingi
- Je, ni vibaya kumuoa mpenzi wa Binamu yako?
- Rais Aapisha Mawaziri, awataka Waziri Silaa,Eng Maryprisca kuimarisha Mawasiliano Teknolojia Habari
- MONDULI WAFIKIWA NA GARI LA ELIMU YA MPIGA KURA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI
- Mpenzi wangu alinitapeli Sh5.7 milioni ila amezirudisha mwenyewe!
- Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Aongoza Upandaji Miti Mlima Kawetere Kuadhimisha Sikukuu ya Uhuru
- MBEYA FAMILY GROUP (MFG) WAPATA VIONGOZI WAPYA