Author: Mbeya Yetu

Mjumbe wa Tume, Jaji (Rufaa) Mhe. Mwanaisha Kwariko akizungumza wakati akifungua mkutano wa Tume na wawakilishi wa watu wenye ulemavu, uliofanyika leo tarehe 11 Juni, 2024 jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Alifungua Mkutano huo  kwa niaba ya Mwenyekiti wa Tume, Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele. Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kisheria wa Seleman Mtibora akiwasilisha mada kwenye mkutano wa kwa niaba ya  Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, na kusema uboreshaji wa daftrai pamoja na mambo mengine utahusu kuandikisha wapiga kura wapya…

Read More

Mbunge mteule wa Jimbo la Kwahani Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharib, Zanzibar, Bw.Khamis Yussuf Mussa akinyanyua juu hati yake ya ushindi baada ya kukabidhiwa na Msimamizi wa Uchaguzi.  Mbunge mteule wa Jimbo la Kwahani Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharib, Zanzibar, Bw.Khamis Yussuf Mussa akionesha hati yake ya ushindi baada ya kukabidhiwa na Msimamizi wa Uchaguzi. Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kwahani, Zanzibar Bi.Safia Iddi Muhammad akimkabidhi hati ya ushindi Bw.Khamis Yussuf Mussa kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kumtangaza kuwa ndiye mshindi wa Kiti cha Ubunge katika Jimbo la Kwahani. Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kwahani,…

Read More

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Sekretarieti ya PAPU, mara baada ya kufungua rasmi Mkutano wa 42 wa Baraza la Utawala la Umoja wa Posta Afrika (PAPU) unaofanyika Makao Makuu ya Ofisi za Umoja huo Jijini Arusha leo tarehe 11 Juni, 2024. Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Maandalizi ya Mkutano wa 42 wa Baraza la Utawala la Umoja wa Posta Afrika (PAPU), mara baada ya kufungua rasmi Baraza hilo linalofanyika Makao…

Read More

Mbunge mteule wa Jimbo la Kwahani Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharib, Zanzibar, Bw.Khamis Yussuf Mussa akinyanyua juu hati yake ya ushindi baada ya kukabidhiwa na Msimamizi wa Uchaguzi.  Mbunge mteule wa Jimbo la Kwahani Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharib, Zanzibar, Bw.Khamis Yussuf Mussa akionesha hati yake ya ushindi baada ya kukabidhiwa na Msimamizi wa Uchaguzi. Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kwahani, Zanzibar Bi.Safia Iddi Muhammad akimkabidhi hati ya ushindi Bw.Khamis Yussuf Mussa kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kumtangaza kuwa ndiye mshindi wa Kiti cha Ubunge katika Jimbo la Kwahani. Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kwahani,…

Read More

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs Mwambegele (wapili kulia) na Mjumbe wa Tume, Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Abubakar wakishuhudia ufunguzi wa kituo cha kupigia kura No 1 katika Skuli ya Sebleni Jimbo la Kwahani Mkoa wa Mjini Mgaharibi leo tarehe 08 Juni,2024 ambapo wananchi wa jimbo hilo wanapiga kura katika uchaguzi mdogo wa jimbo hilo kumchagua Mbunge wao. Wananchi wa jimbo la Kwahani wakihakiki majina yao kabla ya kwenda kupiga kura. Msimsmizi wa Kituo No. 1 Shehiya ya Sebleni kilichopo katika Skuli ya Sebleni akifunga sanduku la kura kabla…

Read More