Author: Mbeya Yetu

Wakazi wa Mji wa Geita mkoani Geita wakiwa foleni katika  moja ya vituo vya kuboreshea Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani humo kwaajili ya kuboresha taarifa zao na kujiandiskisha leo ikiwa ni siku ya mwisho ya zoezi hilo mkoani Geita. Zoezi hilo pia linafanyika mkoani Kagera na lilianza Agosti 5 hadi 11,2024.  Wakazi wa Mji wa Geita mkoani Geita wakiwa katika moja ya vituo vya kuboreshea Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani humo kwaajili ya kuboresha taarifa zao na kujiandiskisha leo ikiwa ni siku ya mwisho ya zoezi hilo mkoani Geita. Zoezi hilo pia linafanyika mkoani…

Read More

Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akizungumza wakati akifungua mkutano wa siku moja wa Tume na Wadau wa Uchaguzi uliofanyika leo Agosti 09, 2024 mkoani Mwanza.Wadau hao ni pamoja na Viongozi wa vyama vya siasa, Viongozi wa Dini, Wawakilishi wa Asasi za Kiraia, Wahariri wa Vyombo vya habari, Waandishi wa habari, Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri, Wawakilishi wa Makundi mbalimbali ya Vijana, Watu wenye ulemavu, Wanawake na Wazee wa Kimila. Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akizungumza wakati akifungua mkutano wa siku moja wa Tume…

Read More

Afisa anayeshughulikia malamiko Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za nishati na maji(EWURA)Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Francis Mhina amesema taasisi yake imerahisisha upatikanaji vibali vya ujenzi wa vituo vya mafuta maeneo ya mijini na vijijini. Ameyasema hayo katika maonesho ya Nane Nane Kanda ya Nyanda za Juu yanayofanyika katika Uwanja wa John Mwakangale Jijini Mbeya. Katika hatua nyingine Mhina amesema mwananchi mwenye malalamiko juu ya utendaji usioridhisha kutoka Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira,Shirika la Umeme na Vituo vya mafuta ofisi yake ipo wazi kupokea changamoto hizo. Ofisi ya EWURA imeyatumia maonesho ya Nane Nane Kanda ya…

Read More

Wanafunzi wa shule mbalimbali mikoa ya Nyanda za juu Kusini wametakiwa kuunda klabu za Mazingira ili kuendelea kutunza vyanzo vya Maji kuepusha ukame. Wito huo umetolewa na Tilisa Mwambungu Afisa Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) ambapo wananchi Mikoa ya Nyanda za Juu wamejitokeza kwa wingi kutembelea Uwanja wa Maonesho John Mwakamgale hususani katika banda la Baraza la Taifa la usimamizi wa Mazingira(NEMC). Tilisa Mwambungu ni Afisa Mazingira Kanda ya Nyanda za Juu anaeleza elimu wanayoitoa katika banda lao ambapo baadhi ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali za msingi na Sekondari wametembelea banda lao na kujifunza pia udhibiti wa…

Read More

Afisa anayeshughulikia malamiko Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za nishati na maji(EWURA)Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Francis Mhina amesema taasisi yake imerahisisha upatikanaji wa ujenzi wa vituo vya mafuta maeneo ya mijini na vijijini.

Ameyasema hayo katika maonesho ya Nane Nane Kanda ya Nyanda za Juu yanayofanyika katika Uwanja wa John Mwakangale Jijini Mbeya.

Katika hatua nyingine Mhina amesema mwananchi mwenye malalamiko juu ya utendaji usioridhisha kutoka Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira,Shirika la Umeme na Vituo vya mafuta ofisi yake ipo wazi kupokea chamoto hizo.
Tobieta Makafu Afisa Uhusiano Mwandamizi kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za nishati na maji(EWURA)Kanda ya Nyanda za Juu Kusini ambayo inahudumia Mikoa ya Mbeya,Njombe,Songwe na Rukwa amesema endapo mwananchi atauziwa mafuta kinyume na bei elekezi asisite kutoa taarifa EWURA.

Read More

Wananchi Mikoa ya Nyanda za Juu wamejitokeza kwa wingi kutembelea Uwanja wa Maonesho John Mwakamgale hususani katika banda la Baraza la Taifa la usimamizi wa Mazingira(NEMC).

Tilika Mwambungu ni Afisa Mazingira Kanda ya Nyanda za Juu Kusini anaeleza elimu wanayoitoa katika banda lao.

Baadhi ya washiriki waliotembelea banda hilo wamefurahishwa na huduma zinazotolewa wakiwemo wanafunzi wa shule ya msingi Scripture Union iliyopo Kata ya Iyela Jijini Mbeya.

Baraza la Taifa la usimamizi wa Mazingira(NEMC) limetilia mkazo kutoa elimu ya uhifadhi wa mazingira na hutumia maonesho mbalimbali kufikisha ujumbe kwa jamii.

Read More