Ni kama mchezo wa kuigiza vile, kwa siku moja ndani ya masaa machache baada ya uongozi wa CHADEMA jijini Mbeya kutangaza nia ya kuwasimamisha uanachama Madiwani wake watatu, Madiwani wawili wa kata ya Sisimba na kata ya Nsalaga wamejianika hadharani na kutangaza kujiuzulu na kukihama chama hichoooo
Trending
- Haya tena Dkt. Tulia Huyoooo
- Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amehudhuria hafla ya kuadhimisha miaka 135 ya Bunge la Hungary,
- Sierra Leone wafika Ludewa kujifunza kwa TARURA matengenezo ya barabara
- Wananchi walia na gharama kubwa ya matibabu Wajawazito watozwa Fedha Hospitali ya wilaya Chunya
- RAIS SAMIA ANATAKA TUONGEZE MAPATO YA UTALII- WAZIRI CHANA
- TRA WAMLIZA MBUNGE MASACHE
- FULL VIDEO : MKUTANO MKUU WA 149 WA IPU UKIONGOZWA NA DKT. TULIA
- MADEREVA WANAOTUMIA LUGHA CHECHEFU KWA ABIRIA WAONYWA