Ni kama mchezo wa kuigiza vile, kwa siku moja ndani ya masaa machache baada ya uongozi wa CHADEMA jijini Mbeya kutangaza nia ya kuwasimamisha uanachama Madiwani wake watatu, Madiwani wawili wa kata ya Sisimba na kata ya Nsalaga wamejianika hadharani na kutangaza kujiuzulu na kukihama chama hichoooo
Trending
- Nilikuwa naota nafanya mapenzi, nikiamka simkumbuki niliyekuwa naye!
- “Dr. Tulia Akabidhi Vifaa vya Upasuaji kwa Hospitali ya Rufaa Mbeya”
- Jinsi nilivyoweza kuacha kuvuta sigara baada ya miaka mingi
- Je, ni vibaya kumuoa mpenzi wa Binamu yako?
- Rais Aapisha Mawaziri, awataka Waziri Silaa,Eng Maryprisca kuimarisha Mawasiliano Teknolojia Habari
- MONDULI WAFIKIWA NA GARI LA ELIMU YA MPIGA KURA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI
- Mpenzi wangu alinitapeli Sh5.7 milioni ila amezirudisha mwenyewe!