Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Serikali Kutoa Mafunzo Maalum kwa Waandishi wa Blogu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

July 10, 2025

ONYO KALI KWA VIBAKA KUTOKA KWA WAMACHINGA SOKO LA JIONI KABWE JIJI LA MBEYA VIBAKA NA WEZI WAUFYATA

July 6, 2025

MNEC: MWASELELA ASIMAMISHA MINONG’ONO YA KISIASA MBEYA MJINI

July 3, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Serikali Kutoa Mafunzo Maalum kwa Waandishi wa Blogu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  • ONYO KALI KWA VIBAKA KUTOKA KWA WAMACHINGA SOKO LA JIONI KABWE JIJI LA MBEYA VIBAKA NA WEZI WAUFYATA
  • MNEC: MWASELELA ASIMAMISHA MINONG’ONO YA KISIASA MBEYA MJINI
  • KWA MARA NYINGINE, MHANDISI MAHUNDI AWAPA NEEMA WAGONJWA WA MACHO
  • MWAKIPESILE AREJESHA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA MBEYA MJINI
  • Msimu wa pili wa tamasha la michezo na vipaji MZRH
  • MKULIMA NA MFUGAJI WA MBARALI ATIA TIMU KIPUTE JIMBO LA MBARALI USANGU ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE
  • WAKILI MSOMI KAPTENI MSTAAFU SAMBWEE SHITAMBALA ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA MBEYA MJINI.
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » *WIZARA YA MAJI YAIKOSHA KAMATI YA BUNGE KWA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI WA ITAGUTWA* 
Uncategorized

*WIZARA YA MAJI YAIKOSHA KAMATI YA BUNGE KWA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI WA ITAGUTWA* 

Mbeya YetuBy Mbeya YetuMarch 13, 2024Updated:March 13, 2024No Comments10 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira imeipongeza Wizara ya Maji kwa utekelezaji wa mradi wa maji wa Itagutwa ambao unahudumiwa jumla ya wananchi 1645 wa Kijiji cha Itagutwa. Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Jackson Kiswaga (Mb) amesema utekelezaji wa mardi huo, utasaidia kutatua changamoto ya maji kwenye Kijiji cha Itagutwa pamoja na baadhi ya vitongoji vilivyopo kwenye vijiji vya Jirani
*WIZARA YA MAJI YAIKOSHA KAMATI YA BUNGE KWA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI WA ITAGUTWA*

 

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira imeipongeza Wizara ya Maji kwa utekelezaji wa mradi wa maji wa Itagutwa ambao unahudumiwa jumla ya wananchi 1645 wa Kijiji cha Itagutwa.

Pongezi hizo zimetolewa leo Machi 13 2024 Mkoani Iringa baada ya Kamati hiyo kutembelea mradi, ambapo imejionea kazi zilizofanyika zikiwemo za ulazaji mabomba wa umbali wa kilometa 12.75 , Ujenzi wa vituo 11 vya kuchotea maji pamoja na ujenzi wa tanki la kuhifadhia maji lenye ujazo wa lita elf 75.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Jackson Kiswaga (Mb) amesema utekelezaji wa mardi huo, utasaidia kutatua changamoto ya maji kwenye Kijiji cha Itagutwa pamoja na baadhi ya vitongoji vilivyopo kwenye vijiji vya Jirani. 

Akiwasilisha taarifa ya Mradi Meneja wa RUWASA wa Wilaya ya Iringa Mhandisi Exaud Humbo ameelezea kuwa kuwepo kwa mradi huo kutaongeza shughuli za uzalishaji kwa kuokoa muda wa wananchi waliokuwa wakiutumia kutafuta maji.

Akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Maji, Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema Wizara inaendelea na jitihada ili kuhakikisha huduma ya maji inawafikia wananchi wote.

Kadhalika Mahundi amemuagiza Meneja wa RUWASA wa Wilaya ya Iringa Mhandisi Exaud Humbo kuhakikisha anasimamia vijiji vya kipengele na Mapululu viweze kujengewa vituo sita vya kuchotea maji, huku vijiji viwili ikiwemo Kijiji cha Kipengele vijengewe vituo vitatu vya kuchotea maji na mpaka kufikia tarehe 30 Aprili, 2024 viwe vimekamilika.

Ikumbukwe kuwa mradi wa maji wa Itagutwa ulisainiwa tarehe tarehe 16 Januari 2023 na utekelezaji wake ulianza tarehe Mei 10 2023 na gharama ya mradi huo ni shilingi milioni 322.

 

Mwisho

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

TUME YA UCHAGUZI YAPONGEZWA MAANDALIZI UCHAGUZI MKUU 2025

June 9, 2025

AFISA MTENDAJI MKUU WA AfD AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA BODI YA GPE MJINI PARIS LEO

June 4, 2025

Wizi wa Bima Wafumuliwa, Serikali Yapanga Mashambulizi

May 16, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024174

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202483

UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAANZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA

May 12, 202569

DKT. TULIA ATOA MSAADA WA VIPAZA SAUTI MSIKITI WA MASJID BI FATMA NZOVWE JIJINI MBEYA

March 29, 202460
Don't Miss

Serikali Kutoa Mafunzo Maalum kwa Waandishi wa Blogu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

By Mbeya YetuJuly 10, 202520

Na Mwandishi Wetu Serikali imekubali kutoa mafunzo maalum kwa waandishi wa blogu kuelekea Uchaguzi Mkuu…

ONYO KALI KWA VIBAKA KUTOKA KWA WAMACHINGA SOKO LA JIONI KABWE JIJI LA MBEYA VIBAKA NA WEZI WAUFYATA

July 6, 2025

MNEC: MWASELELA ASIMAMISHA MINONG’ONO YA KISIASA MBEYA MJINI

July 3, 2025

KWA MARA NYINGINE, MHANDISI MAHUNDI AWAPA NEEMA WAGONJWA WA MACHO

July 1, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Serikali Kutoa Mafunzo Maalum kwa Waandishi wa Blogu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

July 10, 2025

ONYO KALI KWA VIBAKA KUTOKA KWA WAMACHINGA SOKO LA JIONI KABWE JIJI LA MBEYA VIBAKA NA WEZI WAUFYATA

July 6, 2025

MNEC: MWASELELA ASIMAMISHA MINONG’ONO YA KISIASA MBEYA MJINI

July 3, 2025
Most Popular

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024174

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202483

UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAANZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA

May 12, 202569
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.