Mbeya, Juni 30, 2025 โ Mwanasiasa na mpenda maendeleo, Mwakipesile, amerudisha rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini. Hatua yake inaendelea kuonesha ushindani mkali ndani ya chama chake huku akiweka mbele ajenda za ushirikiano na maendeleo jumuishi kwa wananchi wa Mbeya Mjini.
Trending
- MWAKIPESILE AREJESHA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA MBEYA MJINI
- Msimu wa pili wa tamasha la michezo na vipaji MZRH
- MKULIMA NA MFUGAJI WA MBARALI ATIA TIMU KIPUTE JIMBO LA MBARALI USANGU ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE
- WAKILI MSOMI KAPTENI MSTAAFU SAMBWEE SHITAMBALA ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA MBEYA MJINI.
- MWAISUMBE: ALIYEJITOSA UBUNGE 2010 AWANIA TENA MBEYA MJINI AAHIDI KUMUUNGA MKONO ATAKAYETEULIWA
- MHASIBU SUA AJITOSA UBUNGE JIMBO LA SAME MASHARIKI
- MWANAHABARI MKONGWE CHARLES MWAKIPESILE AJITOSA UBUNGE MBEYA MJINI
- ALIYESAMBARATISHA UPINZANI JIMBO LA MBEYA MJINI AWANIA UBUNGE MBEYA MJINI, NI AFREY NSOMBA