Naitwa Mary. Mimi ni mama wa watoto watatu na niliolewa miaka 30 iliyopita. Kwa miaka mingi nimepitia majaribu makubwa ambayo sikuwahi kufikiria ningeyakabili maishani.
Siku moja nilijikuta nikiwa nimechoka na kukata tamaa kabisa. Nilichukua simu yangu na kuandika ujumbe huu.
“Habari za sahizi samahani nimesoma shuhuda zako dk mimi naitwa Mary ni mama mwenye watt 3 niriolewa miaka 30 iriyopita naomba msaada wako mume wangu arimbaka mama yangu mzazi na siku ya piri mama yangu ariamuwa kunywa sumu akafa baada ya miaka 2nirijuwa ukweri tukatengana chumba miaka 18 sasa lakini sasa hivi tumetengana na tupo mahakamani porisi warimwambia anipe nyumba ya kuishi na watoto amekataa usitawi wa jamii pia amekataa kanisani amekataa anasema yoko tayari kuniuwa kuriko tugawane Maria hivi sasa mimi naishi kwenye fulemu na watoto kesi inamiaka 4 sasa sijuwi hatimayangu naomba msaada wako bb”.
Nilipowatuma ujumbe huo nilihisi kama natupa kilio changu gizani bila uhakika kama kuna mtu atakisikia. Lakini majibu yao yalikuja haraka. Soma zaidi hapa