Habari za mtaa mmoja ziligonga vichwa vya habari baada ya familia moja kufichua siri yao ya kushangaza kuhusu namna walivyoweza kuwaokoa watoto wao dhidi ya jicho baya la husuda na mashambulizi ya kimaisha yaliyowakumba mara kwa mara.
Familia hiyo, ambayo jina lao limehifadhiwa kwa sababu za usalama, walidai kuwa watoto wao walikuwa wakikumbwa na mikosi isiyoelezeka kila mara walipofanikiwa kidogo shuleni au kazini. Wengine waligundua mara kwa mara mali zao zikiharibika, afya zao kudhoofika ghafla na hata ndoto zao kufutika pale walipoanza kung’aa.
Kwa mujibu wa simulizi yao, hali hii ilisababisha mshangao mkubwa miongoni mwa majirani na hata marafiki, ambao wengi walihusisha changamoto hizo na kile wanachokiita jicho baya la husuda.
Hali ilizidi kuwa mbaya kiasi kwamba binti wa kwanza wa familia hiyo alianza kulia kila mara akirudi nyumbani, akidai kwamba mara zote watu walimwangalia kwa chuki na kumtupia maneno ya kudhalilisha. Hapo ndipo wazazi wakaanza safari ya kutafuta suluhu ya kudumu. Soma zaidi hapa