Kwa miaka mingi nilikuwa nikihesabika kama mlevi sugu katika kijiji changu. Watu walinijua kama yule mwanaume ambaye hawezi kuanza siku bila pombe na hawezi kuimaliza bila bia kadhaa. Kila mara niliapa kuacha lakini nilijikuta nikirudi kule kule.
Nilishindwa kudumu kwenye ndoa, nilipoteza kazi mbili kwa sababu ya kulewa kupita kiasi, na hata watoto wangu waliniogopa. Nilijaribu kila mbinu, kutoka hospitali hadi vikundi vya ushauri, lakini haikusaidia. Nilikuwa nikijiona mfungwa wa pombe na nilihisi siku zangu za maisha zitaisha katika aibu.
Siku moja mambo yalizidi kuwa mabaya. Nililewa nikapoteza fahamu barabarani na nilipoamka nilijikuta hospitali. Daktari alinieleza wazi kuwa ini langu limeanza kuharibika na iwapo ningeendelea kunywa, basi siku zangu zilikuwa zimehesabika.
Niliogopa sana. Kwa mara ya kwanza nilijiona karibu na kaburi. Nilirudi nyumbani nikilia, nikajiuliza ni lini nitapata nguvu za kweli za kuachana na kile kilichokuwa kinaniharibu. Soma zaidi hapa