Jiji lote la wanafunzi wa chuo kikuu lilijua jina langu kwa sababu ya kushindwa mitihani. Nilikuwa maarufu kwa sababu zisizo za kujivunia. Kila mara majina ya wanafunzi waliofeli yalipotolewa, jina langu halikukosekana. Nilishindwa mtihani wa somo moja mara nne mfululizo, na kila mara ilikuwa fedheha mpya. Niliona kama ndoto yangu ya kupata shahada ilikuwa inaangamia mbele ya macho yangu.
Familia yangu ilianza kupoteza imani nami. Wazazi wangu walinieleza walivyokuwa wakihangaika kunilipia karo lakini matokeo yangu hayakuonyesha jitihada zao. Marafiki walinicheka kwa siri, wengine wakinitania kuwa nimeweka kambi ya kudumu chuoni. Nilipata msongo wa mawazo na hata kuanza kushuka hali ya kujiamini. Niliogopa siku za matokeo zikifika, nikijua kuwa jina langu litaandikwa tena kwenye orodha ya waliofeli.
Nilijaribu kila njia ya kujisomea nilijiunga na vikundi vya masomo, nilikaa maktaba hadi usiku, na hata nikamwajiri mwalimu wa ziada. Lakini nilipoketi darasani siku ya mtihani, akili yangu ilikataa kushirikiana nami. Nilihisi kama giza linashuka kichwani na mawazo yangu yote yanapotea. Ilikuwa ni mateso makubwa ya kiakili. Soma zaidi hapa