Naitwa Sarah kutoka Kisumu, na leo ninaandika hadithi hii kwa moyo wa furaha na shukrani. Nilikuwa nimeolewa kwa zaidi ya miaka mitano, lakini ndoa yangu ilianza kuyumba taratibu kwa sababu moja kubwa ambayo sikuwahi kufikiria ingekuwa tatizo maishani mwangU.
Kila wakati wa tendo nilihisi maumivu badala ya raha. Mume wangu alianza kubadilika, akawa anakaa kimya, na mara nyingine alitoa visingizio vya uchovu ili kuepuka tendo.
Nilijaribu kutumia mafuta mbalimbali madukani, lakini hakuna yaliyosaidia. Kila kitu kilionekana bure.
Niliishi kwa hofu ya kupoteza ndoa yangu kwa sababu ya hali hii. Nilihisi kama nimepoteza thamani yangu kama mwanamke, na mara nyingi nilijificha kulia usiku.
Nilihisi aibu hata kumwambia mtu yeyote, hadi siku moja bibi yangu alipogundua kuwa nina huzuni ya muda mrefu. Soma zaidi hapa