Kwa jina naitwa Kevin Otieno kutoka Nairobi. Kwa miaka mingi nilikuwa mpenzi wa michezo ya kubashiri hasa Premier League, lakini haijawahi kunipa faida yoyote. Kila wikendi nilikuwa na matumaini mapya, nikitumia akili na muda wangu kubashiri, lakini mwisho wake ilikuwa ni hasara tupu.
Nilifika hatua ya kuuza simu yangu ili niweze kuweka bet kubwa nikitarajia kushinda, lakini nilipoteza kila kitu. Wakati mwingine nililala njaa, lakini bado nikaweka bet nikiamini labda bahati yangu itacheka kesho.
Baada ya miezi mingi ya kushindwa, marafiki walianza kunicheka. Wengine waliniita mjinga, wakisema betting ni ya watu wasio na kazi. Nilihisi kuchoka na dunia.
Nilikuwa nimepoteza zaidi ya laki mbili kwa muda wa miezi minane. Nilijiuliza ni lini nitawahi kushinda kama wale watu ninaowaona wakipigwa picha wakiwa na hundi kubwa kwenye mitandao. Nilihisi kama bahati ilikuwa imenitoroka kabisa. Soma zaidi hapa