Nilikuwa nimezidiwa na maisha. Kila mara nilipoanza kufanikiwa, jambo lisilotarajiwa lilikuwa likitokea ghafla. Nilifungua kibanda cha kuuza vyakula, kikachomeka usiku wa manane.
Niliponunua pikipiki kwa ajili ya biashara ya bodaboda, dereva wangu alipata ajali siku ya pili tu. Nilipoanza kuuza mitumba, nguo zikaibwa zote ndani ya wiki moja. Nilianza kuamini bahati yangu imefutwa.
Kilichoniumiza zaidi ni kwamba matatizo haya yalikuwa yakinitokea mara tu baada ya kupata sifa au pongezi kutoka kwa majirani.
Nilianza kuhisi wivu na husuda za watu zilikuwa zimenikamata. Nilihama mtaa nikaenda mbali, lakini mambo hayakubadilika. Nilianza kupata ndoto mbaya, nikiota nikiwa nimefungwa kwa minyororo au nikipigwa kwa mawe na watu wasio na uso. Nilipoamka, nilikuwa na uchovu usioelezeka. Soma zaidi hapa