Jina langu ni Faith Wambui, kutoka Nakuru. Nilikuwa nimeolewa kwa miaka minne na mume wangu, Brian, lakini ndoa yetu ilipitia changamoto nyingi hadi tukatengana. Ilianza kama hadithi nzuri ya mapenzi, lakini ikageuka kuwa vita vya maneno, ukimya, na hatimaye maumivu ya kuachana.
Tulitengana vibaya kiasi kwamba nilidhani sitamuona tena. Alipata mwanamke mwingine, na kila nilipojaribu kuwasiliana naye, alinijibu kwa ukali kana kwamba tulikuwa maadui.
Nilijaribu kusonga mbele, lakini moyo wangu ulikuwa bado unamkumbuka. Nilihisi pengo lisiloelezeka kila usiku nilipolala peke yangu. Niliona picha zake mitandaoni na yule mwanamke mpya, wakionekana wakiwa na furaha, na nilijikuta nikilia kimya kimya.
Kila mtu alinambia niache kumkimbiza mtu ambaye hanihitaji, lakini moyo haukusikia. Nilijua bado nampenda, na nilihisi kwamba kuna kitu kilichokuwa kimeharibu uhusiano wetu – kitu kisicho cha kawaida. Soma zaidi hapa