Kwa muda wa takriban miaka miwili, nilikuwa nikiamka kila siku na maumivu makali ya tumbo. Wakati mwingine nilikuwa nashindwa hata kula, na hata maji yalinikera tumboni. Nilihisi kama maisha yangu yalikuwa yanapotea polepole, maana hakuna dawa niliyotumia hospitalini iliyoweza kuniokoa.
Nilipimwa mara nyingi. Wakati mwingine madaktari walisema ni vidonda vya tumbo, wengine wakasema ni gesi, na wengine wakasema labda ni msongo wa mawazo. Nilijaribu dawa zote walizonipa, lakini kila nilipoacha kuzitumia, maumivu yalianza tena usiku au alfajiri.
Kila siku nilikuwa naogopa kula vyakula fulani. Nikila chakula chenye mafuta au pilipili kidogo, basi nilikuwa nateseka usiku kucha. Nilijikuta nimepoteza hamu ya chakula kabisa. Mwili wangu ulianza kudhoofika, na hata marafiki zangu waliniuliza kama nina tatizo kubwa lisilojulikana.
Nilifika hatua ya kuanza kufikiri labda nimerogwa au kuna kitu cha kiroho kinanifuata. Wakati mwingine nilihisi kama kitu kinazunguka tumboni, lakini vipimo havikuonyesha chochote. Nilichoka kabisa, nikaamua kuacha kila kitu mkononi mwa Mungu. Soma zaidi hapa

