Nilipoteza kazi yangu ghafla baada ya kampuni yetu kupunguza wafanyakazi. Hali hiyo ilinifanya nihisi nimepoteza kila kitu. Nilijikuta nikitengwa, bila uhakika wa maisha, na nikihisi aibu mbele ya familia yangu. Nilijaribu kutafuta kazi nyingine, lakini kila mahali nilipokwenda nilikosa nafasi.
Hali hii ilisababisha migogoro nyumbani. Familia yangu ilianza kulalamika kuhusu changamoto za kifedha, na mimi nilijikuta nikipoteza ujasiri wangu wa kuwa mwanaume wa nyumbani. Nilijua lazima nifanye kitu haraka, lakini sikujua wapi nianze. Soma zaidi hapa

