#mbeyayetutv
Mvua iliyonyesha kwa takribani saa moja Novemba 20 2025 Mtaa wa Lumbila Kata ya Iwambi Jijini Mbeya imeathiri makazi ya watu kutokana na mitaro kujaa maji kuingia kwenye makazi ya watu na baadhi ya sehemu za biashara.
Trending
- MVUA ILIYONYESHA LUMBILA IWAMBI MBEYA MITARO YAFURIKA MAKAZI YA WATU YAJAA MAJI BIASHARA ZASIMAMA
- Afanikiwa kuoa baada ya kuvunja vifungo vya ukoo!
- MWAKIPESILE: ”YALIYOJIRI OKT 29 YAMETUUMIZA,TUMUUNGE MKONO RAIS,WAZIRI MKUU MWIGULU NI MZALENDO”
- Hadi nilishindwa kujiamini nikiwa faragha!
- Rais Samia Ahoji Kilio cha Vijana: “Walikuwa Wanaidai Haki Ipi?”
- Kijana Golden Kidumba (DON. G) Awagusa Watoto wa Mitaani kwa Chakula na Mavazi
- Biashara ya mbao ilivyobadili maisha yake ikimpa utajiri
- Rais Dkt Samia aongoza kikao kazi cha Mawaziri Naibu Mawaziri Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu

