Kutana na Ruth, binti mrembo mwenye umri wa miaka 24 kutoka Namanga, alikuwa akijulikana kwa tabasamu lake la upole na moyo wake wa huruma. Alikuwa ameolewa na mume wake Kelvin kwa miaka miwili, na ingawa ndoa yao ilikuwa na upendo mwingi, kulikuwa na jambo moja lililokuwa likimtesa kwa muda mrefu. Ruth alikuwa anakosa kabisa hisia za tendo la ndoa, hali iliyomfanya kuhisi tofauti, kushindwa kujikubali na wakati mwingine kujiona kama anampunguzia furaha mume wake.
Kila walipozungumza, Kelvin alimwonyesha upendo na uvumilivu, lakini ndani ya moyo wake, Ruth alibeba mzigo wa wasiwasi na aibu. Alijaribu kusoma makala mtandaoni, kushauriwa na baadhi ya marafiki, na hata kubadili mfumo wa maisha, lakini hakuna kilichobadilika. Kadri muda ulivyopita, alihisi kama tatizo hilo lilikuwa linamzuia kuishi maisha ya ndoa aliyoyataka. Soma zaidi hapa

