Author: Mbeya Yetu

Nimekuja kubaini katika maisha unaweza kufanya kazi kwa bidii sana na kujituma lakini ikawa ni vigumu kwa wewe kufanikiwa kwa sababu unakuwa anapambana katika eneo ambalo sipo riziki yako ilipo. Jina langu ni Ramadhani mkazi wa Mombasa, Kenya, tangu nikiwa kijana mdogo niliamua kujishughulisha na uvivu maana nilipenda sana safari za majini, kazi hiyo niliifanya kwa miaka mingi hadi kila mtu mtaani kwetu alikuwa akinitambu kama mvuvi mashahuri sana. Changamoto yangu ilinza pale ambapo nilikuwa nafanya kazi sana na kutambulika na kila mtu na kusifiwa sana lakini hakuna maendeleo yoyote niliyoyapata kwenye maisha yangu kutokana na kazi yangu. Nilianza kupata…

Read More

Miongoni mwa mambo ambayo siwezi kuja kuyasahau katika maisha yangu ni matukio ya kukabwa nikiwa ndotoni na watu ambao nakuwa nawafahamu hasa rafiki zangu lakini nikishaamka siwakumbuki tena. Jina langu ni Crispin, miaka yangu ni 25, kama mwaka mmoja na nusu uliyopita nilikumbwa na changamoto moja kubwa sana katika maisha yangu, hasa pale ambapo nilianza kuota ndoto za kutisha kiasi kwamba nilikuwa hadi napata mawazo ukifika wakati wa kulala. Nilijaribu kwenda kwa waganga wa jadi na kuwasilimulia ndoto ambazo nazikumbuka waweze kuniambia nini maana yake lakini wengi hao walisema wanashindwa kutambua changamoto yangu, huku wengine wakitaka kiasi kikubwa cha fedha.…

Read More

Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari akizungumza hii leo Januari 18, 2025 wakati akifunga mafunzo ya siku mbili kwa watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya mkoa, mkoani Lindi ambapo amewataka watendaji hao  kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria, kanuni, maelekezo na miongozo itakayotolewa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi. Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.  Dkt. Zakia Mohamed Abubakar akizungumza hii leo Januari 18, 2025 wakati akifunga mafunzo ya siku mbili kwa watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi…

Read More

Mwenyekiti wa tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Rufani, Mhe. Jacobs Mwambegele akifungua mafunzo ya siku mbili kwa Waratibu wa Uandikishaji wa mkoa, Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Jimbo, Maafisa Uchaguzi, Maafisa Ugavi na Maafisa TEHAMA wa halmashauri yaliyoanza leo tarehe 17 hadi 18 Januari, 2025 Mkoani Mtwara ambapo amewataka watendaji hao kuhakikisha wanatunza vifaa vya uandikishaji ili viweze kutumika katika maeneo mengine nchini pamoja na kuzangitia mafunzo hayo ili wakafanikishe zoezi hilo muhimu. Zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura mkoani humo linataraji kuanza Januari 28,2025 na kufikia tamati Februari 03,2025…

Read More