Subscribe to Updates
Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.
- Dkt. Tulia Aongoza kwa Vitendo, Apiga Kura na Kuhamasisha Ushindi wa CCM Uyole
- DKT MARY MWANJELWA AUNGANA NA WANANCHI KUPIGA KURA AHAMASISHA KUJITOKEZA KWA WINGI AMANI IMETAWALA
- Nilivyookoa Ndoa Yangu Baada ya Migogoro Kila Usiku Kuhusu Pesa na Wivu
- MWAKIPESILE: ”TUKAANDAMANE OKTOBA 29 KWA AJILI KUWAPIGIA KURA VIONGOZI KWA AMANI”
- “Tunatiki CCM, Tunatunza Amani” — Kauli ya Bodaboda Kiwira Yakonga Moyo wa Suma Fyandomo
- Nilivyomfanya Mtu Aliyenidharau Kuniheshimu na Kunitegemea Kwa Mambo Mengi
- NABII MPANJI AUTANGAZIA UMMA, WAKRISTO WASISHIRIKI MAANDAMANO WAJITOKEZE KWA WINGI KUPIGA KURA
- Nilivyookoa Biashara Yangu Baada ya Wateja Wote Kupotea Ghafla
Author: Mbeya Yetu
Kwa hakika mimi ni miongoni mwa vijana waliochelewa sana kuoa, ilifikia hatua hadi kwenye familia waliniambia wanitafute mwanamke lakini nilikataa kwa kuona aibu. Changato yangu kubwa ilikuwa ni kwamba kila nikipata mwanamke sidumu naye kabisa, tukikaa pamoja miezi kadhaa na kuanza kupanga mipango ya maisha ya mbeleni, basi ghafla linatokea jambo la kutuachanisha. Jambo hili lilikuwa linaniumiza sana kwa sababu nilikuwa najimudu kabisa kimaisha, nilikuwa na uwezo wa kumgharamikia mwanamke kila kitu lakini nashangaa kwanini hawataki kudumu na mimi. Nilikuwa naona aibu kila mara kuhudhuria harusi za wenzangu lakini ukija upande wangu sina hata mchumba wa kupanga naye hiyo mipango…
Baada ya ukuaji wa teknolojia, bidhaa nyingi na huduma zimekuwa zikitolewa kwa njia ya mtandao, hata hivyo suala hilo limekuwa likiingiliwa na watu wachache ambao sio waaminifu ambao wamekuwa wakitapeli watu fedha zao. Jambo hilo liliwahi kunitokea kama mwaka mmoja uliopita ambapo nilinunua gari katika mtando mmoja na makubaliano yalikuwa nilipe fedha nusu na nyingine nilipe baada ya kukabidhiwa gari langu. Basi nililipa fedha zile kupitia akauti ya benki niliyoelekezwa, makubaliano yalikuwa baada ya wiki tatu niletewe gari langu hadi nyumbani lakini haikuwa hivyo. Kila mara ningewapigia simu na kuwauliza kuhusu hilo na majibu yao yalikuwa kuwa wapo katika mchakato…
Wakazi wa Mbeya walibaki midomo wazi waliposikia taarifa zisizo za kawaida: kijana mwenye umri wa miaka 32 alitangaza rasmi harusi yake na mwanamke mwenye umri wa miaka 84. Hii haikuwa kejeli wala maigizo ya mitandaoni. Ilikuwa ni uamuzi wa kweli, wa moyo, uliosababisha minong’ono, kicheko na hata taharuki mitaani. Nilikuwa mmoja wa waliokuja kuhukumu, kusema kwamba huenda alikuwa anatafuta urithi au malipo fulani. Lakini baada ya kusikia upande wake wa simulizi, niliona namna maisha yanaweza kuandika hadithi tofauti na matarajio yetu ya kawaida. Jina lake ni Enock, fundi seremala anayejulikana kwa utulivu wake. Kwa muda mrefu alikuwa na uhusiano wa…
Moshi wa mgogoro wa kifamilia ulianza kujitokeza kimyakimya ndani ya nyumba yetu ya ndoa pale nilipoanza kugundua kuwa mume wangu alikuwa akiniona kama mzigo. Hakuwa tena yule mwanamume niliyeolewa naye kwa upendo; sasa alizungumza kwa kejeli, akinitazama kwa jicho la dharau, na mara nyingi alionyesha wazi kwamba hakuwa na heshima tena kwangu. Sababu? Kwa sababu sikuwa nachangia kipato ndani ya nyumba. Nilikuwa mama wa nyumbani, nikijitahidi kulea watoto wetu wawili na kuendesha shughuli ndogo ndogo za jikoni. Mume wangu ndiye alikuwa mleta mkate mkuu. Lakini kadiri siku zilivyokwenda, alionekana kuona majukumu hayo kama mzigo unaotoka upande mmoja tu. “Huwezi hata…
Sikujua kama siku moja ningekuwa na nguvu ya kutabasamu kuhusu kisa hiki. Miaka michache iliyopita, nilikuwa mvulana wa kawaida tu niliyempenda msichana mmoja kupita maelezo. Alikuwa mpole, mrembo na mwenye ndoto kubwa. Tuliishi mtaa mmoja hapa Mwanza na uhusiano wetu ulianza kwa urafiki wa kawaida kabla haujakua upendo wa dhati. Baada ya miaka miwili ya uchumba, nilipata ujasiri wa kumwambia kuwa nataka kumuoa. Alifurahi, lakini akaniambia lazima nikutane na mama yake kwanza kwa baraka. Niliona ni jambo la heshima, nikajiandaa vyema kwenda nyumbani kwao. Nilipokutana na mama yake, mambo hayakuenda kama nilivyotarajia. Alinitazama juu chini, akaniuliza maswali ya kazi yangu,…
Jina langu ni Saidi kutoka Tanga, na hadi leo bado siamini maisha niliyonayo sasa. Kuna wakati nilikuwa napambana tu kupata hela ya nauli, sasa hivi nasafiri duniani kama mtu wa hadhi, nikilala hoteli za nyota tano, nikila chakula cha kifahari, na hata kupewa heshima ya mgeni mashuhuri kwenye baadhi ya mataifa. Yote haya yalianza kwa kubonyeza tu linki ya tiketi ya bahati nasibu mtandaoni. Nilikuwa tu kwenye simu yangu jioni moja baada ya kazi ya mchana ya kubeba mizigo bandarini. Niliona tangazo kwenye mtandao kuhusu bahati nasibu ya kimataifa, tiketi ilikuwa dola 5 tu. Kwa kawaida siamini mambo kama hayo,…
Hadi sasa kati ya mambo ambayo siwezi kuja kuyasahau katika maisha yangu ni matukio ya kukabwa nikiwa ndotoni na watu ambao nakuwa nawafahamu hasa rafiki zangu lakini nikishaamka siwakumbuki tena. Naitwa Meshaki, mwaka mmoja na nusu uliyopita nilikumbwa na changamoto moja kubwa sana katika maisha yangu, hasa pale ambapo nilianza kuota ndoto za kutisha kiasi kwamba nilikuwa hadi napata mawazo ukifika wakati wa kulala. Nilijaribu kwenda kwa waganga wa jadi na kuwasilimulia ndoto ambazo nazikumbuka waweze kuniambia nini maana yake lakini wengi hao walisema wanashindwa kutambua changamoto yangu, huku wengine wakitaka kiasi kikubwa cha fedha. Hali ile iliendelea kwa miazi…
Moshi, Tanzania Wakati kijana mmoja mwenye umri wa miaka 29 akianza kucheza kamari mitandaoni miaka mitatu iliyopita, marafiki na familia walimcheka na kumuita mvivu, mtegemezi na mpotezaji muda. Kwao, kubashiri ilikuwa ni njia ya haraka ya kupoteza pesa na kujipeleka kwenye umasikini. Lakini leo hii, yeye ndiye anayewakopesha pesa za kodi, akimiliki maduka mawili ya jumla na gari aina ya Toyota Harrier aliyonunua cash. Majirani wanasema walijua kijana huyo alipotea mwelekeo alipofukuzwa kazi ya kufunga nyaya za umeme kutokana na ucheleweshaji kazini. “Tulimshauri arudi shule au ajaribu kilimo. Lakini kila siku ulikuta anakodisha laptop kwa saa mbili anaangalia odds. Tulimcheka,”…
Majirani wa Kimara, Dar es Salaam walishuhudia furaha isiyoelezeka pale ambapo mama mkwe ambaye awali alikuwa akiendesha chuki na matusi dhidi ya mkwe wake kwa kutopata mtoto, alionekana akimpa zawadi za kila aina mama huyo baada ya kujifungua mapacha wa kiume. Kisa hiki kimezua mjadala mitaani kuhusu jinsi mitishamba inavyochangia kutatua matatizo ya uzazi. Kwa miaka saba ya ndoa yangu na mume wangu Raymond, kila siku ilikuwa ni vita visivyoisha. Tatizo halikuwa ndoa yetu kama msingi mume wangu alikuwa mpole, mcha Mungu na mwenye huruma bali lilikuwa ni presha ya mama yake ambaye alionekana kuwa na hasira ya kudumu juu…
Kila mwanamke ana ndoto ya kuolewa na mume mzuri ampendaye ambaye anaona anamfaa kuanzisha naye familia na kuishi maisha mazuri ya upendo, furaha, kujaliana na kuthaminiana. Vigumu kusema kuna mwanamke asiyekuwa na malengo hayo ingawa kuna wachache ambao wanaweza kuwa kinyume na hilo kutokana na sababu mbalimbali ambazo muda mwingine zinakuwa nje ya uwezo wa wao au sababu za kimazingira. Jina langu ni Salma, kwa sasa nina miaka 46, naishi Temeke, niliolewa miaka mitatu iliyopita, yaani nikiwa na umri wa miaka 43 jambo ambalo mwenyewe sikuamini hata familia yangu tayari ilikuwa imeshanikatia tamaa. Soma zaidi hapa

 
		