Author: Mbeya Yetu

Wakazi wa Mbezi Beach, Dar es Salaam walishtuka baada ya mwanamke mmoja kugundua kuwa mume wake alikuwa amemwandikisha mwanamke mwingine kwenye bima ya afya ya kampuni alikofanya kazi akimwita “mke wake wa ndoa.” Tukio hilo lilizua taharuki kwa familia hiyo, huku likizua mjadala mkubwa kwenye makundi ya wanawake mtandaoni. Kwa miaka sita ya ndoa yetu, nilidhani nina mume mwaminifu. Tulikuwa tumepitia mengi pamoja kushiriki ndoto, kupambana na madeni, na hata kupata mtoto mmoja wa kiume. Sikuwahi hata mara moja kuwa na mashaka juu ya uaminifu wake. Lakini kama wanavyosema, mchana wa ndoa ni mrefu, na ndani yake kuna mawingu yasiyotabirika.…

Read More

Sidhani kama kuna mfanyakazi anaweza kutosheka na kuridhika na mshahara ule ule kwa miaka nenda rudi, na hii ni kutokana kila mshahara unapoongezeka, matumizi nayo yanaongezeka tena kwa kiasi kikubwa. Hiyo hufanya mfanyakazi kutumia tena ombi la mshahara, hata hivyo ni Mabosi wachache au Ofisi chache ambazo muda wote zipo tayari kwa kuongeza mshahara mfanyakazi wake. Ndivyo ilikuwa na kwangu,nilifanya kazi katika ofisi moja ya usafirisha mizigo kwa miaka mingi kwa malipo yale yale miaka mingi sana. Kila ambapo ningetuma ombi la nyongeza mshahara, basi ningepewa jibu kuwa nisubiri kwanza au niwe mvumilivu kwani siku sio ngingi watafanya hivyo ila…

Read More

Kuna jambo ambalo unaweza kusikia watu wakisema hadi kulifanikisha kuna ugumu sana, lakini kwako likaja kuwa rahisi ajabu kiasi kwamba unashangaa nini hiki kimenitendekea. divyo ilivyokuwa kwangu wakati natafuta kazi ya ndoto zangu ambayo nimeisomea hadi Chuo Kikuu. Jina langu Zurimami, nimesomea taaluma ya Rasilimalia Watu (HR), ilikuwa ndoto yangu kufanya hivyo. Baada ya kumaliza Chuo tu hivi nilishauriwa na baadhi ya watu kuwa nitafute moja ya Ofisi mjini niombe kazi niwe najitolea bila malipo ili kupata uzoefu maana waajiri wengi hupenda kuajiri wafanyakazi wenye uzoefu. Nilikubaliana na ushauri wao na kuanza kuitafuta nafasi hiyo, nakumbuka dada yangu, Ney ndiye…

Read More

Nilikuwa msichana mrembo, mwenye maadili na roho ya kupenda kweli. Lakini kwa miaka mingi, kila mwanaume aliyekuja maishani mwangu aliniacha nikiwa na moyo uliovunjika. Walikuwa wananitumia, kuniahidi ndoa, kisha baada ya kunipata, walinigeuka kana kwamba mimi si chochote. Nilijaribu kubadilika, kujifunza kutoka kwa makosa yangu, hata kufunga na kuomba lakini haikubadilika chochote. Ilikuwa kana kwamba nililaaniwa kwenye mapenzi. Marafiki zangu walinicheka. Waliniita “malkia wa heartbreak.” Mama yangu aliniambia pengine najaribu sana. Kila nilipojaribu kuelezea uchungu wangu, walidhani labda mimi ndiye tatizo. Nilipoingia kwenye uhusiano na kijana mmoja wa kanisani ambaye kila mtu alimwona kama mtakatifu, nilidhani labda huyu ni wa…

Read More

Ilikuwa ni siku ya kawaida sokoni Morogoro, watu wakihangaika na shughuli zao, baadhi wakipiga kelele kuuza bidhaa huku wengine wakinunua. Lakini ghafla, kelele nyingine zilianza kuvuma sio za biashara, bali za mkurupuko wa kiakili kutoka kwa kijana mmoja aliyekuwa akipiga makelele huku akirandaranda katikati ya soko bila viatu, akisema maneno ya ajabu. “Nilikunywa chai ya mapenzi! Namsahau hata mama yangu! Nani alinifanyia hivi?” Alilia kwa sauti kubwa akijiinamia huku macho yakiwa mekundu kwa hasira na uchungu. Watu walimzingira, wengine wakidhani amepagawa au ni mlevi, lakini maneno yake yalizidi kuwachanganya watu: “Chai ile ilikua tamu, lakini sasa naishi kwa ndoto! Nilimwambia…

Read More

Ibada ya Jumapili katika kanisa moja maarufu eneo la Kihonda ilikatizwa ghafla kwa taharuki, baada ya mwanamke mmoja kuvamia madhabahu akiwa na machozi na kuanza kupiga kelele akimtuhumu mume wake, ambaye ndiye mchungaji wa kanisa hilo, kwa usaliti wa ndoa yao. Kwa mujibu wa waumini waliokuwepo, ibada ilikuwa ikiendelea kwa hali ya utulivu hadi pale mwanamke huyo alivyoingia ghafla kupitia mlango wa upande wa madhabahu akiwa amevaa vazi la kawaida na viatu vya mpira. Bila kutoa ishara yoyote ya kusalimia, alianza kulia kwa sauti na kumwita mchungaji huyo kwa jina lake la nyumbani, jambo ambalo liliwashangaza wengi. “Mwanzo tulidhani ni…

Read More

Kilichotarajiwa kuwa mchana wa furaha kiligeuka kuwa tafrani ya kushangaza mjini Dodoma siku ya Jumatano, Agosti 6, 2025, baada ya mwanadada mmoja kujikuta akipagawa ghafla mbele ya wachumba watatu aliokuwa amewadanganya kwa miezi tofauti, tukio lililozua kioja na sintofahamu kubwa mbele ya watu waliokuwa wakihudhuria hafla ya kipaimara ya mtoto wa jirani. Watu walianza kumshangaa msichana huyo, aitwaye Doreen, baada ya kuonekana akiwa amevalia mavazi ya kuvutia, akizunguka eneo hilo akionekana mwenye furaha kupita kiasi, kabla ya hali kubadilika ghafla na kuanza kupiga kelele akisema anahisi “mioyo mitatu ikimpasuka kwa wakati mmoja,” jambo lililowafanya watu waanze kumuangalia kwa hofu. Kabla…

Read More

Ni tukio la kushangaza lililoshuhudiwa katika kanisa moja la kifahari jijini Arusha, ambapo harusi iliyotarajiwa kuwa ya kifalme iligeuka kuwa sinema ya kutisha mbele ya wageni waliokuwa wamefurika kushuhudia. Jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la Gerald, alipigwa na kifafa dakika chache tu baada ya kusema wazi kwamba hatambui wala hataki kumhusisha bibi yake wa kwanza kwenye maisha yake mapya ya ndoa. Sherehe hiyo ilikuwa imepangwa kwa miezi mingi. Gerald, ambaye ni mfanyabiashara maarufu mkoani Arusha, alikuwa ameandaa harusi ya kukata na shoka na mwanadada mrembo mwenye jina la ushawishi mtandaoni. Hata hivyo, wengi walishangazwa kuwa hakukuwa na dalili zozote za…

Read More

Mtaa wa mjini uligeuka uwanja wa mshangao baada ya mwanamke mmoja kuonekana akikimbia barabarani akiwa na mavazi ya ndani tu huku akipiga mayowe ya kuomba msaada, hali iliyowashangaza wakazi waliokuwa karibu na eneo hilo, hasa baada ya kubainika kuwa alikuwa ameingia chumba cha kulala na mume wa mtu. Kwa mujibu wa walioshuhudia tukio hilo, kilio cha mwanamke huyo kilianza majira ya saa mbili na nusu asubuhi kutoka katika moja ya nyumba za kulala wageni, ambako watu walieleza kuwa mwanamke huyo aliingia pamoja na mwanaume aliyedaiwa kuwa fundi maarufu wa umeme mtaani hapo, ambaye alifahamika kwa jina moja tu la Mwagito.…

Read More

Wakazi wa kijiji cha Kinyamaseke kilichopo mkoani Kigoma, Jumatatu, Agosti 4, 2025, walipata taswira ya nadra sana kushuhudiwa katika maisha ya kawaida, baada ya tukio la kushangaza kuwafanya watu kusimama barabarani, wengine wakipiga video na wengine wakishindwa hata kuamini macho yao. Kisa kilianza mapema asubuhi baada ya wanakijiji kuona mzinga wa nyuki ukishuka kutoka mti mkubwa uliokuwa pembezoni mwa barabara na kuzunguka wanaume wawili waliokuwa wakitembea kwa haraka huku wakiwa na mabegi makubwa yenye uzito usio wa kawaida. Kwa mujibu wa mashuhuda, wanaume hao walijaribu mara kadhaa kupiga hatua za haraka ili kuondoka, lakini nyuki hao walionekana kama wamepewa mafunzo…

Read More