Author: Mbeya Yetu

Hadi sasa kati ya mambo ambayo siwezi kuja kuyasahau katika maisha yangu ni matukio ya kukabwa nikiwa ndotoni na watu ambao nakuwa nawafahamu hasa rafiki zangu lakini nikishaamka siwakumbuki tena. Naitwa Meshaki, mwaka mmoja na nusu uliyopita nilikumbwa na changamoto moja kubwa sana katika maisha yangu, hasa pale ambapo nilianza kuota ndoto za kutisha kiasi kwamba nilikuwa hadi napata mawazo ukifika wakati wa kulala. Nilijaribu kwenda kwa waganga wa jadi na kuwasilimulia ndoto ambazo nazikumbuka waweze kuniambia nini maana yake lakini wengi hao walisema wanashindwa kutambua changamoto yangu, huku wengine wakitaka kiasi kikubwa cha fedha. Hali ile iliendelea kwa miazi…

Read More

Moshi, Tanzania Wakati kijana mmoja mwenye umri wa miaka 29 akianza kucheza kamari mitandaoni miaka mitatu iliyopita, marafiki na familia walimcheka na kumuita mvivu, mtegemezi na mpotezaji muda. Kwao, kubashiri ilikuwa ni njia ya haraka ya kupoteza pesa na kujipeleka kwenye umasikini. Lakini leo hii, yeye ndiye anayewakopesha pesa za kodi, akimiliki maduka mawili ya jumla na gari aina ya Toyota Harrier aliyonunua cash. Majirani wanasema walijua kijana huyo alipotea mwelekeo alipofukuzwa kazi ya kufunga nyaya za umeme kutokana na ucheleweshaji kazini. “Tulimshauri arudi shule au ajaribu kilimo. Lakini kila siku ulikuta anakodisha laptop kwa saa mbili anaangalia odds. Tulimcheka,”…

Read More

Majirani wa Kimara, Dar es Salaam walishuhudia furaha isiyoelezeka pale ambapo mama mkwe ambaye awali alikuwa akiendesha chuki na matusi dhidi ya mkwe wake kwa kutopata mtoto, alionekana akimpa zawadi za kila aina mama huyo baada ya kujifungua mapacha wa kiume. Kisa hiki kimezua mjadala mitaani kuhusu jinsi mitishamba inavyochangia kutatua matatizo ya uzazi. Kwa miaka saba ya ndoa yangu na mume wangu Raymond, kila siku ilikuwa ni vita visivyoisha. Tatizo halikuwa ndoa yetu kama msingi mume wangu alikuwa mpole, mcha Mungu na mwenye huruma bali lilikuwa ni presha ya mama yake ambaye alionekana kuwa na hasira ya kudumu juu…

Read More

Kila mwanamke ana ndoto ya kuolewa na mume mzuri ampendaye ambaye anaona anamfaa kuanzisha naye familia na kuishi maisha mazuri ya upendo, furaha, kujaliana na kuthaminiana. Vigumu kusema kuna mwanamke asiyekuwa na malengo hayo ingawa kuna wachache ambao wanaweza kuwa kinyume na hilo kutokana na sababu mbalimbali ambazo muda mwingine zinakuwa nje ya uwezo wa wao au sababu za kimazingira. Jina langu ni Salma, kwa sasa nina miaka 46, naishi Temeke, niliolewa miaka mitatu iliyopita, yaani nikiwa na umri wa miaka 43 jambo ambalo mwenyewe sikuamini hata familia yangu tayari ilikuwa imeshanikatia tamaa. Soma zaidi hapa 

Read More

Wakati wengine walikuwa wanazungumzia ndoto zao za kuishi kwenye majumba ya kifahari, mimi nilikuwa nalala kwenye godoro lililotoboka ndani ya banda la mabati. Sauti ya mbu na mvua ilikuwa ya kawaida usiku, na mara kadhaa nililazimika kufunika godoro kwa nailoni ili kuliepusha na matope. Hicho ndicho kilikuwa ‘chumba changu’ na sikuwahi hata kufikiria kuwa ningeweza kuamka ndani ya nyumba yangu mwenyewe ya ghorofa. Jina langu ni Jackson, nina umri wa miaka 31, mzaliwa wa Kigoma lakini nimeishi Temeke kwa miaka zaidi ya kumi. Nilipohamia Dar, lengo langu lilikuwa moja kutafuta maisha bora. Lakini miaka ikasonga, kazi zikawa za mikataba ya…

Read More

Ukweli ni kwamba heshima ya kweli anayopewa mwanaume kutoka kwa mke wake ni pale ambapo anatimiza majukumu yake vizuri ya kuihudumia familia, na kubwa zaidi ni pale wakati wa kula chakula cha usiku, mume ahakikishe mke kala na kuridhika. Wakubwa tunaelewana vizuri katika jambo hilo nyeti zaidi, huo ni uwanja wetu wa vita wa kujidai na kuonyesha uwezo wetu na kudhihirisha uanaume wetu. Niseme katika ndoa yangu kuna kipindi nilikubwa na tatizo la kiafya ambalo lilipelekea mimi kushindwa kumridhisha mke wangu hadi akafikia hatua ya kuanza kunidharau na kutamka wazi wazi ataenda nje ya ndoa yetu. Kwenye ndoa nimeishi kwa…

Read More

Hospitali moja kubwa jijini Dar es Salaam iliwahi kuandaa wasifu wa kifo kwa mgonjwa ambaye madaktari walithibitisha hakuwa na matumaini ya kupona tena. Wauguzi waliambiwa kuwa muda wowote wangehitajika kutoa taarifa rasmi ya kifo. Familia yake ilishaandaa jeneza na michango ya mazishi ilianza kutumwa. Lakini kwa mshangao wa kila mtu, mgonjwa huyo aliamka, akapata nafuu ya ghafla, na leo hii anaendesha biashara yake mwenyewe akiwa na afya tele. Kwa wiki kadhaa, habari hii ilisambaa sana kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakijiuliza, “Huyu jamaa alifufuka?” Au “Ilikuwa bahati tu?” Hii ni hadithi isiyo ya kawaida, lakini kwa Hassan Mussa mwenyewe,…

Read More

Kilichotokea siku hiyo siwezi kukisahau. Nilikuwa nimekaa sebuleni nikipanga makabrasha ya mume wangu ambaye pia alikuwa ‘sugar daddy’ wa watu bila mimi kujua. Alikuwa safarini na aliniomba kupitia baadhi ya hati zake kwa ajili ya kukamilisha malipo ya kodi ya mashamba yetu. Ndipo macho yangu yalipokutana na kitu kilichonifanya nipate kizunguzungu jina la Pamela Mwakipesile kwenye hati halali ya umiliki wa shamba lililokuwa lake kwa zaidi ya miaka saba. Pamela alikuwa mrembo mdogo sana, mwenye umri wa binti yangu wa kwanza. Nilimjua kwa majina tu kwa sababu ya minong’ono mitaani kuwa ni mmoja wa ‘side chick’ wa mume wangu. Nilikuwa…

Read More

Naweza kusema hakuna furaha anayokuwa nayo mwanamke kama kuitwa Mama, daima siwezi kuisahau siku ambayo nilimshika kwa mikono yangu mtoto wangu wa kwanza kwa mara ya kwanza. Chozi la furaha lilinitoka bila mwenyewe kujua, nilijikuta nalia tu kwa furaha niliyokuwa nayo, moyo wangu ulihemewa kwa furaha ambayo ni vigumu kuelezeka na kueleweka. Nasema hivyo kwa sababu kuu mbili; kwanza kujifungua salama mtoto wangu wa kwanza akiwa na afya tele, pili ni kwamba niliangaika sana kutafuta mtoto hadi ukafikia wakati wa kuanza kukataa. Jina langu kwa sasa naitwa Mama Anna, ni mkazi wa Malindi nchini Kenya, katika ndoa yangu nilikaa miaka…

Read More

Nilikuwa nimekaa mbele ya kioo, nikiangalia pua yangu, ngozi yangu yenye madoa na mdomo wangu uliokuwa mwembamba. Sikuwa najipenda. Kilichoniumiza zaidi ni maneno aliyoniambia mtu niliyempenda kwa moyo wangu wote: “Wewe si mrembo, na huwezi kuwa mrembo bila kufanya upasuaji.” Alikuwa mpenzi wangu wa miaka miwili, lakini siku hiyo alikatiza uhusiano wetu kwa kauli hiyo ya kikatili. Toka utotoni nilikuwa na matatizo ya kujiamini. Nilichekwa sana shuleni, wenzangu waliniita majina kama “kiatu cha mguu mmoja” na “uso wa ndoo.” Nilijua sina ngozi laini kama ya wenzangu, nilikuwa na chunusi za mara kwa mara na nywele zangu hazikuwa laini wala zenye…

Read More