Author: Mbeya Yetu

Majirani walidhani nina roho ya subira, lakini ukweli ni kwamba nilikuwa nimekufa ndani kwa ndani. Kwa miaka sita, nilibeba ndoa iliyojawa na fedheha, matusi, na kunyanyaswa. Mume wangu alikuwa mtu wa hasira za ghafla. Angeweza kurudi usiku wa manane, anuke pombe, na anichape kwa sababu tu nilikuwa nimelala mapema. Hakuna aliyejua machungu yangu, maana nilijificha nyuma ya tabasamu. Kila nikiomba ushauri kwa mama au dada zangu, walinambia “vumilia, ndoa ni uvumilivu.” Nilijaribu. Nilikaa kwa ajili ya watoto. Nilikaa kwa sababu sikuwa na kazi wala uwezo wa kujitegemea. Lakini kilichoniumiza zaidi ni kwamba hata nilipojaribu kuzungumza naye, hakuwa tayari kusikiliza. Alikuwa…

Read More

Baada ya kuhitimu chuo kikuu, nilituma maombi ya kazi zaidi ya 20 katika taasisi mbalimbali za serikali. Kila wakati nilijipa matumaini, nikiamini elimu yangu itaniondoa mitaani lakini jibu lilikuwa lile lile kimya au majibu ya kukataliwa. Nilijitahidi kumpenda kwa moyo wangu wote, nikamtunza hata kipindi hana kazi. Nilimwamini hata zaidi ya familia yangu. Lakini mambo yalibadilika ghafla. Jamal alianza kuwa distant. Alikuwa hapokei simu zangu haraka kama zamani. Mara nyingine alikuwa na mood mbaya sana, hata hakutaka kuzungumza. Nilivumilia, nikaamini labda ni stress za maisha. Hadi niliposikia kutoka kwa jirani kuwa amekuwa akionekana na mwanamke mmoja tajiri sana wa mjini.…

Read More

Ningekuambia nilivyochoka maisha, usingeamini. Mimi ni mama wa watoto wawili. Nilipoamua kuingia sokoni kuuza vitunguu, nyanya na mboga za majani, nilikuwa na matumaini makubwa. Niliamini bidii  yangu ingetosha. Niliamka kila siku saa kumi alfajiri, nikaenda Marikiti kununua bidhaa, nikarudi sokoni kabla hata kuku hawajawika. Niliweka bidhaa vizuri. Nilitabasamu kwa kila mteja. Nilihimili jua na mvua. Lakini bado, wateja walinipita kama siwapo. Wengine waliokuwa karibu yangu walikuwa wakinunuliwa kila saa. Wateja walikuwa wanapigana kwao hadi foleni inatokea. Mimi nilikuwa napiga darubini tu. Nilijua sina matatizo ya tabia, bidhaa zangu ni safi, lakini watu hawakunijali. Nilivumilia kwa mwaka mmoja. Mwaka wa pili…

Read More