Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili Mkoani Arusha ambapo anatarajiwa kuwe Mgeni Rasmi, katika Misa maalum ya Kumbukumbu ya miaka 40 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine.Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amepokelewa na Viongozi mbalimbali, wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu, na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda.
Trending
- Dc Chunya awahimiza wananchi kujiandikisha na kushiriki uchaguzi Serikali za Mitaa
- WAANDISHI WASAIDIZI, WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI ZANZIBAR MGUU SAWA KUANZA UBORESHAJI
- WATENDAJI WA UBORESHAJI ZANZIBAR WATAKIWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KWA KUFUATA SHERIA
- MADAKTARI BINGWA WA RAIS SAMIA SONGWE WALETA MWANGA WA UPONYAJI KWA WANANCHI.
- Dkt. Tulia Tutawanyoosha
- MEYA WA Jiji la Mbeya Dourmohamed Issa Amshukuru Dkt.Tulia Mama wa Maendeleo
- NSOMBA AWAONYA WENYEVITI CCM WANAOMALIZA MUDA WAO KUTOWATISHIA WAGOMBEA WAPYA WATAKAOJITOKEZA
- WAKURUGENZI HAKIKISHENI MADAKTARI WANAPATA HUDUMA NZURI RC”* HOMERA