#mbeyayetutv
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Homera amevunja ukimya na kuweka mambo hadharani kwa kuelezea hisia zake juu ya kile kinachoelezwa na baadhi ya wanasiasa wilayani’Namtumbo mkoani Ruvuma.
Akiwa katika iftari maalumu iliyoandaliwa na Taasisi ya Site Trust Foudation na Site Fm zinazosimamiwa na wake zake Imani na Jasmin.
‘’Namtumbo ni Nyumbani kwetu Nimezaliwa Namtumbo sijaja kufanya siasa tuwaunge mkono viongozi wetu’’amesema Homera
Trending
- Serikali yagawa vishikwambi 350 kwa maafisa ugani Mkoani Mbeya
- RC. Homera azindua zahanati ya Sinai Kata ya Iwambi Jijini Mbeya
- MHE. MHESHIMIWA MHANDISI MAHUNDI AHITIMISHA ZIARA YA SIKU 3 KUTEMBELEA WATOA HUDUMA ZA MAWASILIANO
- MTAA KWA MTAA KUSIKILIZA KERO NA KUPOKEA USHAURI KWA WATEJA WA MBEYA WSSA
- PADRE ”AWAPIGA MADONGO” WADOEZI WA CHAKULA CHA WAFIWA MSIBANI
- PADRE KATOLIKI IGURUSI ASIMULIA ALIVYOTELEKEZEWA MAITI NA WAUMINI KANISANI
- DKT TULIA ALIVYOGUSWA NA KIFO CHA MZEE MWANSASU NSONYANGA
- Jinsi ya Kufikisha Malalamiko Kuhusu Mradi wa REGROW na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha