Siku moja tu baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi Sugu kuhukumiwa kifungo cha miezi mitano Jela Hakimu aliyemhukumu Sugu na mwenzie Masonga,Michael Mteite amechukua likizo ya wiki tatu.
Wakati huo huo CHADEMA wapo katika harakati za mwisho za kukata rufaa ya hukumu hiyo.
Trending
- WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII WAUNGANA KUWAELIMISHA WANANCHI MTAA KWA MTAA MBEYA JIJI
- Dkt Tulia atoa tabasamu kwa mlemavu wa Miguu
- Mpenzi wangu alinitapeli Sh5.7 milioni ila amezirudisha mwenyewe!
- MH. MAHUNDI: WILAYA 139 NCHINI KUNUFAIKA NA HUDUMA YA YA MKONGOWA TAIFA WA MAWASILIANO
- Dkt. Tulia Ackson Amchukua Kijana anaeishi kwenye Mazingira Magumu kwa Ajili ya Kumsomesha
- Namna ya kumlinda mume asichepuke kabisa!
- Humphrey Nsomba. Ashiriki Msiba wa Aliyekuwa Diwani kata ya Mabatini Patrick Mbilinyi (MAKWALU)
- Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya Mhe: Dormohamed amlilia Patrick Mbilinyi (MAKWALU)