Wananchi wa Kata ya Itewe, wilayani Chunya, wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake katika ujenzi wa daraja jipya ambalo limeboresha miundombinu na kurahisisha usafiri katika eneo hilo. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mheshimiwa Juma Zuberi Homera, amepongeza Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kazi nzuri ya utekelezaji wa mradi huo muhimu kwa maendeleo ya wananchi.
Trending
- Nilivyopata Flat Tummy Baada ya Kuteseka na Kitambi kwa Miaka Mitatu
- Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Beno Malisa Atoa Rai ya Kudumisha Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29
- MKONGOMAN ATOA USHUHUDA MZITO KUTOWEKA KWA AMANI NCHINI JAMHURI YA KONGO
- DKT HARRISON MWAKYEMBE ATOA SOMO ZITO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
- DC ITUNDA ATETA NA WANA VICOBA AWAPA NENO HILI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU OKT 29
- WANANCHI KATA IGANZO MTAA MWAMBENJA WAISHUKURU MBEYA UWSA KWA MRADI WA MAJITAKA
- TUME YATOA MAELEKEZO YA KISERA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025
- KONGAMANO LA AMANI NA UCHAGUZI NYANDA ZA JUU KUSINI LIMEFANYIKA MKOANI MBEYA

