Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Nilivyogundua Ndugu Yangu Aliyekuwa Akiniombea Kwa Mabaya Bila Mimi Kujua

November 6, 2025

Nilivyogundua siri ya kuishi bila msongo wa Mawazo baada ya kupoteza kila kitu

November 6, 2025

Nilivyofanikiwa Kumfanya Mtoto Wangu Aache Tabia ya Ukaidi na Kuanza Kufanya Vizuri Shuleni

November 5, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Nilivyogundua Ndugu Yangu Aliyekuwa Akiniombea Kwa Mabaya Bila Mimi Kujua
  • Nilivyogundua siri ya kuishi bila msongo wa Mawazo baada ya kupoteza kila kitu
  • Nilivyofanikiwa Kumfanya Mtoto Wangu Aache Tabia ya Ukaidi na Kuanza Kufanya Vizuri Shuleni
  • Mume Wangu Aliniacha Bila Sababu, Lakini Miaka Mitatu Baadaye Akaja Akiomba Kunitaka Tena
  • Dkt. Tulia Aongoza kwa Vitendo, Apiga Kura na Kuhamasisha Ushindi wa CCM Uyole
  • DKT MARY MWANJELWA AUNGANA NA WANANCHI KUPIGA KURA AHAMASISHA KUJITOKEZA KWA WINGI AMANI IMETAWALA
  • Nilivyookoa Ndoa Yangu Baada ya Migogoro Kila Usiku Kuhusu Pesa na Wivu
  • MWAKIPESILE: ”TUKAANDAMANE OKTOBA 29 KWA AJILI KUWAPIGIA KURA VIONGOZI KWA AMANI”
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » TANZANIA HAIWEZI KUWEPO BILA YA MUUNGANO, TUULINDE KWA WIVU- DKT. TULIA
Habari za Kitaifa

TANZANIA HAIWEZI KUWEPO BILA YA MUUNGANO, TUULINDE KWA WIVU- DKT. TULIA

Mbeya YetuBy Mbeya YetuApril 25, 2025No Comments6 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa ni wajibu wa kila mtanzania kuhakikisha anailinda kwa wivu wote tunu ya Muungano iliyoanzishwa na waasisi wa taifa hilo.

Dkt. Tulia ameyasema hayo leo tarehe 25 Aprili 2025 wakati akizungumza na wananchi wa wa Mkoa wa Pwani wakati wa Mkutano wa hadhara uliofanyika katika stendi ya Kibaha ikiwa ni sehemu ya shughuli za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo iliyofanyika katika mkoa huo.

Kiupekee, Dkt. Tulia amemshukuru na kumpongeza Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa namna ambavyo amekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha anasimamia maendeleo katika nyanda zote za bara na visiwani.

“Tanzania haiwezi kuwepo bila Muungano, Muungano huu umejengwa katika misingi imara umedumu na utaendelea kudumu. Kila mmoja wetu anapaswa kutafakari matendo na maneno yake yawe chachu ya kudumisha Muungano wetu, niwahakikishie kwamba Bunge litaendelea kuwa daraja katika pande zote mbili ili kuhakikisha Muungano unazidi kuwa madhubuti, unadumu na kuwa imara zaidi” Amesisitiza Dkt. Tulia

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

TUME YATOA MAELEKEZO YA KISERA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025

October 23, 2025

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UCHAGUZI WA UDIWANI KATIKA KATA YA NYAKASUNGWA JIMBO LA BUCHOSA

October 18, 2025

RC Malisa Azindua Wodi ya Watoto Wachanga Hospitali ya Meta Mbeya kwa Ushirikiano wa IHI na NEST360 Tanzania

October 18, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025222

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025203

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024196

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WAPEWA WITO WA KUONYESHA MAADILI, UPENDO NA HESHIMA KAZINI

August 28, 2025126
Don't Miss
Uncategorized

Nilivyogundua Ndugu Yangu Aliyekuwa Akiniombea Kwa Mabaya Bila Mimi Kujua

By Mbeya YetuNovember 6, 20250

Nilikuwa nikiamini kwamba ndugu ni ngao ya damu, watu ambao hata dunia ikinigeuka, wao watabaki…

Nilivyogundua siri ya kuishi bila msongo wa Mawazo baada ya kupoteza kila kitu

November 6, 2025

Nilivyofanikiwa Kumfanya Mtoto Wangu Aache Tabia ya Ukaidi na Kuanza Kufanya Vizuri Shuleni

November 5, 2025

Mume Wangu Aliniacha Bila Sababu, Lakini Miaka Mitatu Baadaye Akaja Akiomba Kunitaka Tena

November 5, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Nilivyogundua Ndugu Yangu Aliyekuwa Akiniombea Kwa Mabaya Bila Mimi Kujua

November 6, 2025

Nilivyogundua siri ya kuishi bila msongo wa Mawazo baada ya kupoteza kila kitu

November 6, 2025

Nilivyofanikiwa Kumfanya Mtoto Wangu Aache Tabia ya Ukaidi na Kuanza Kufanya Vizuri Shuleni

November 5, 2025
Most Popular

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025222

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 2025203

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024196
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.