Majirani wa Kimara, Dar es Salaam walishuhudia furaha isiyoelezeka pale ambapo mama mkwe ambaye awali alikuwa akiendesha chuki na matusi dhidi ya mkwe wake kwa kutopata mtoto, alionekana akimpa zawadi za kila aina mama huyo baada ya kujifungua mapacha wa kiume.
Kisa hiki kimezua mjadala mitaani kuhusu jinsi mitishamba inavyochangia kutatua matatizo ya uzazi.
Kwa miaka saba ya ndoa yangu na mume wangu Raymond, kila siku ilikuwa ni vita visivyoisha. Tatizo halikuwa ndoa yetu kama msingi mume wangu alikuwa mpole, mcha Mungu na mwenye huruma bali lilikuwa ni presha ya mama yake ambaye alionekana kuwa na hasira ya kudumu juu ya kutopata mjukuu.
Nilipoolewa, nilikuwa msichana wa miaka 26, nikiwa bado nina ndoto nyingi maishani. Tulipanga kupata mtoto ndani ya mwaka mmoja, lakini mambo hayakwenda kama tulivyotarajia.
Miezi iligeuka kuwa miaka, vipimo vya hospitali havikuonyesha tatizo lolote kwetu wawili. Hata hivyo, kila mwaka ulivyozidi kwenda, ndivyo mama mkwe alivyozidi kuamini kuwa mimi ndiye tatizo. Soma zaidi hapa