Moshi, Tanzania Wakati kijana mmoja mwenye umri wa miaka 29 akianza kucheza kamari mitandaoni miaka mitatu iliyopita, marafiki na familia walimcheka na kumuita mvivu, mtegemezi na mpotezaji muda.
Kwao, kubashiri ilikuwa ni njia ya haraka ya kupoteza pesa na kujipeleka kwenye umasikini. Lakini leo hii, yeye ndiye anayewakopesha pesa za kodi, akimiliki maduka mawili ya jumla na gari aina ya Toyota Harrier aliyonunua cash.
Majirani wanasema walijua kijana huyo alipotea mwelekeo alipofukuzwa kazi ya kufunga nyaya za umeme kutokana na ucheleweshaji kazini. “Tulimshauri arudi shule au ajaribu kilimo.
Lakini kila siku ulikuta anakodisha laptop kwa saa mbili anaangalia odds. Tulimcheka,” anasema mama mmoja jirani aliyeshuhudia mabadiliko yake. Soma zaidi hapa