Serikali imezindua mkakati wa kuongeza fursa za ardhi kwa vijana kupitia Benki Maalum ya Ardhi, taasisi itakayowezesha vijana kumiliki maeneo kwa ajili ya kilimo, ujenzi na uwekezaji.Katika ufunguzi wa maonesho ya kilimo Nane Nane mkoani Mbeya, Mkuu wa Mkoa Beno Malisa amesisitiza umuhimu wa vijana kuondokana na changamoto za ardhi na kutumia pembejeo bora ili kuongeza tija kwenye kilimo.Aidha, Meneja wa Azania Bank Mkoa wa Mbeya ameahidi kuunga mkono jitihada hizo kwa kuwapatia wananchi huduma rafiki za kifedha zitakazowezesha maendeleo katika kilimo na ufuga
Trending
- DED Yegella: Ahamasisha Upigaji Kura, Kamanda Kuzaga Asema Jeshi la Polisi Lipo Tayari Kulinda Amani
- RC Malisa Atoa Wito wa Kulipa Leseni Wakati Akikabidhi Madawati 1,000 kwa Shule 15 Jijini Mbeya
- ISAACK MWAKIBOMBAKI MGOMBEA UDIWANI KATA RUANDA MBEYA AELEZA DHAMIRA YAKE KWA WAKAZI WA RUANDA
- Kijana Asiyeamini Katika Bahati Anashangaza Wote Baada ya Kushinda Kiasi Kikubwa Kwenye Bet
- Nilivyopata Flat Tummy Baada ya Kuteseka na Kitambi kwa Miaka Mitatu
- Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Beno Malisa Atoa Rai ya Kudumisha Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29
- MKONGOMAN ATOA USHUHUDA MZITO KUTOWEKA KWA AMANI NCHINI JAMHURI YA KONGO
- DKT HARRISON MWAKYEMBE ATOA SOMO ZITO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

