Close Menu
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Niliwahi Kudharauliwa Kwa Kutokuwa na Mali Lakini Sasa Nimegeuka Mfano wa Mafanikio

August 22, 2025

RC Mbeya Akabidhi Boti Mpya ya Ulinzi Jeshi la Polisi kwa Doria Ziwa Nyasa

August 22, 2025

BENKI YA NMB YAWACHIA FURAHA WAGONJWA HOSPITALI YA RUFAA MKOA MBEYA YAKABIDHI VITANDA 20 NA MAGODORO

August 21, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Trending
  • Niliwahi Kudharauliwa Kwa Kutokuwa na Mali Lakini Sasa Nimegeuka Mfano wa Mafanikio
  • RC Mbeya Akabidhi Boti Mpya ya Ulinzi Jeshi la Polisi kwa Doria Ziwa Nyasa
  • BENKI YA NMB YAWACHIA FURAHA WAGONJWA HOSPITALI YA RUFAA MKOA MBEYA YAKABIDHI VITANDA 20 NA MAGODORO
  • Njia Sahihi za Kujilinda Dhidi ya Uchawi na Roho za Wivu
  • Jamaa Akimbia Harusi Yake Mwenyewe Akisema Anahisi Kuvutwa Na Upendo Wa Ex Wake
  • Wafanyabiashara wadogo wapata utulivu wa kimaisha kupitia msaada wa pekee
  • “Polisi Mbeya Wamnasa Mwindaji Haramu na Meno ya Tembo”
  • “Mwanamke Mbeya Akamatwa na Vifaa vya Umeme TANESCO Nyumbani Kwake”
Facebook X (Twitter) Instagram
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
  • Home
  • Habari za Kitaifa
  • Utalii na Utamaduni
  • Elimu na Vijana
  • Matukio ya Kijamii
  • Afya na Ustawi
Mbeya Yetu OnlineMbeya Yetu Online
Home » RC Mbeya Akabidhi Boti Mpya ya Ulinzi Jeshi la Polisi kwa Doria Ziwa Nyasa
Video Mpya

RC Mbeya Akabidhi Boti Mpya ya Ulinzi Jeshi la Polisi kwa Doria Ziwa Nyasa

Mbeya YetuBy Mbeya YetuAugust 22, 2025No Comments0 Views
Facebook Twitter Pinterest LinkedIn WhatsApp Reddit Tumblr Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Beno Malisa Agosti 22, 2025 amemkabidhi boti moja mpya PB.44 ULINZI Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga. Akikabidhi boti hiyo kwa Jeshi Mkoa wa Mbeya, Mhe Malisa amelitaka Jeshi hilo kulitumia vizuri boti hilo katika kuimarisha doria za ziwa nyasa Wilayani Kyela na kutokomeza uhalifu. nipe vichwa vitano vya habari Aidha, Mhe.Malisa amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura kwa kutimiza ahadi ya kutoa boti kwa ajili ya kuimarisha ulinzi Ziwa Nyasa na kuahidi kuitunza na kuitumia vizuri kwa malengo yaliyokusudiwa. Naye, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya SACP Benjamin Kuzaga amesema kuwa Boti hiyo inakwenda kuimarisha ulinzi Ziwa Nyasa kupitia doria za pamoja za Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama, JWTZ, Uhamiaji na TRA. Ziwa nyasa ni miongoni mwa maziwa makuu nchini ambalo sehemu ya Ziwa hilo ni nchi jirani ya Malawi na Mkoa wa Njombe na Ruvuma hivyo uwepo wa Boti hiyo ni mikakati ya kuimarisha ulinzi na kudhibiti uhalifu wa majini.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Telegram Email
Mbeya Yetu

Related Posts

BENKI YA NMB YAWACHIA FURAHA WAGONJWA HOSPITALI YA RUFAA MKOA MBEYA YAKABIDHI VITANDA 20 NA MAGODORO

August 21, 2025

“Polisi Mbeya Wamnasa Mwindaji Haramu na Meno ya Tembo”

August 20, 2025

“Mwanamke Mbeya Akamatwa na Vifaa vya Umeme TANESCO Nyumbani Kwake”

August 20, 2025

Leave A Reply Cancel Reply

Top Posts

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025185

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024181

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202486

Njia rahisi ya kushinda kesi Mahakamani bila kutoa rushwa

February 7, 202583
Don't Miss
Uncategorized

Niliwahi Kudharauliwa Kwa Kutokuwa na Mali Lakini Sasa Nimegeuka Mfano wa Mafanikio

By Mbeya YetuAugust 22, 20252

Nilizaliwa katika familia maskini na maisha yangu yalikuwa ya dhiki tangu utotoni. Nilikua nikivaa nguo…

RC Mbeya Akabidhi Boti Mpya ya Ulinzi Jeshi la Polisi kwa Doria Ziwa Nyasa

August 22, 2025

BENKI YA NMB YAWACHIA FURAHA WAGONJWA HOSPITALI YA RUFAA MKOA MBEYA YAKABIDHI VITANDA 20 NA MAGODORO

August 21, 2025

Njia Sahihi za Kujilinda Dhidi ya Uchawi na Roho za Wivu

August 21, 2025
Stay In Touch
  • Facebook
  • Twitter
  • Pinterest
  • Instagram
  • YouTube
  • Vimeo

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from SmartMag about art & design.

About Us
About Us

Mbeya Yetu is a dynamic online platform that serves as a comprehensive source for news and information, offering a diverse range of content that caters to the interests and needs of its audience. Focusing on key pillars such as Habari za Kijamii (Social News), Uchumi na Biashara (Economy and Business), Elimu na Vijana (Education and Youth), Afya na Ustawi (Health and Well-being), and Habari za Kitaifa (National News), Mbeya Yetu is committed to keeping its community informed and engaged.

Facebook X (Twitter) Pinterest YouTube WhatsApp
Our Picks

Niliwahi Kudharauliwa Kwa Kutokuwa na Mali Lakini Sasa Nimegeuka Mfano wa Mafanikio

August 22, 2025

RC Mbeya Akabidhi Boti Mpya ya Ulinzi Jeshi la Polisi kwa Doria Ziwa Nyasa

August 22, 2025

BENKI YA NMB YAWACHIA FURAHA WAGONJWA HOSPITALI YA RUFAA MKOA MBEYA YAKABIDHI VITANDA 20 NA MAGODORO

August 21, 2025
Most Popular

LIVE: CCM YATANGAZA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE BAADA YA KIKAO CHA KAMATI KUU (CCM)

July 29, 2025185

KUMI WAKAMATWA WAKITOROSHA KILO 9.5 ZA DHAHABU

March 19, 2024181

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

March 26, 202486
© 2025 Mbeya Yetu. Powered by Digital Media Innovation Program.
  • Home

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.